Sehemu kubwa ya jamii hii tunayoiona leo haikuwepo kwa Idadi, jiografia na maendeleo mfano wa leo. Hizo nchi ulizozisemea jamii zake ni zajuzi tu hapa hawana ukale wowote.
Hiyo Dar miaka ya 1945 mji mzima ulikuwa pori na idadi ndogo hasa waliokaa pembeni mwa bahari.
Bro shtuka. Ujinga wako ndio fursa kwao. Kumtolea Mungu shukrani au Sadaka ni hiyari na sio lazima. Ila ukisikia mambo ya kujimaliza sijui kujiteketeza oya kimbia sana hapo sio salama.
Mungu hapendi usaliti na uharibifu hasa kazi zake na kumuhusu yeye.
Vijana achane ujuaji. Biblia ni kitabu rahisi sana ukibahatika kufundishwa na yeye Mungu (kupitia watu wake; ambao wapo ulimwenguni kote kwa sasa, wakifundisha vizuri na kwa upendo usiotia shaka) na sio kutegemea akili zako.
Habari Tanzania !...
Natamani leo hii tungekuwa na utaratibu wa kila kaya iwe na utamaduni wa kulima mboga mboga yaani iwe utamaduni wa Tanzania nzima. Hata kama mtu au familia yake sio wapenzi wa matumizi ya mboga mboga za majani hiyo sio tatizo ila lazima aishi huo utamaduni.
Leo hii...
Isaya 46:9-10
9 kumbukeni mambo ya zamani za kale; maana mimi ni Mungu, wala hapana mwingine; mimi ni Mungu, wala hapana aliye kama mimi;
10 nitangazaye mwisho tangu mwanzo, na tangu zamani za kale mambo yasiyotendeka bado; nikisema, Shauri langu litasimama, nami nitatenda mapenzi yangu yote...
Hizo mashine ni zakawaida sana. Bongo hii hakuna hizo Heavy Duty Rice Mill brother. Zilizopo nyingi haziwezi kuhudumia hata tani 5 mpaka 10 kwa siku. Mimi nazungumzia ni heavy weight machine brother hapa bongo.
Leo hii Mchele tunapimia kwa mokopo na maeneo mengine wanatumia mizani. Leo hii kweli miaka 65 ya Uhuru vyakula tunapimia kwa mizani!?... alafu tunaona sawa.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.