Recent content by masalikwa

  1. M

    Program Note: Operesheni Funguka... Oktoba 5. Mabadiliko Hayabinafsishwi!

    Huyo MM ni mtanzania mwenzetu,binadamu kama sisi,lakini hapo alipo hana amani na hana raha.Anahisi kwa sasa kama vile nchi hii haimhusu tena kwa sababu tu jamaa yake dr Mihogo hayupo cdm kama mgombea urais.Nampa pole kwa hilo,kwani hajatambua kwamba katika mapambano na adui yetu ccm,kwa sasa...
  2. M

    Mwigulu na matusi kwenye kampeni!

    Hiyo ndo CCM,waliomo humo hufurahia dharau,kejeli,matusi na hawaoni mateso,manyanyaso na uonevu wanaotendewa wao wenyewe au hata ndugu zao.wanajali matumbo yao yashibe,hata kama chakula hicho watasimangiwa.
  3. M

    Pamoja na Utendaji wa Magufuli haendani na mabadiliko na hafai kuwa Rais kwa sasa!

    Kukosa dira na mwelekeo huko.Hivi mahakama zilizopo hazina uwezo kushughulikia wezi,majambazi na mafisadi ili wawe wafungwe kwa 'halaka?'.Kweli ni kudanganya wananchi.
  4. M

    Edward Lowassa katika ubora wake akiiwajibisha serikali ya CCM Bungeni

    Naunga mkono hoja,lakini nina ombi maalum kwa mh.Lowasa asimwache magufuli,kwani anajitahidi kuchapa kazi,hivyo ampe japo ukurugenzi wa kampuni fulani.Kwa kweli tatizo ni mfumo mbovu wa CCM,lakini kiutendaji anajaribu.Nasema hivi kwa kuwa jamaa hakugombea hata ubunge.
  5. M

    Revealed: Chimbuko la utajiri wa Lowassa hili hapa. Je, anafaa kuwa rais?

    We unayejua hayo na ushahidi unao,hujaona umuhimu wa kutumia vyombo husika kama polisi na mahakama kwa muda wote huo,leo kwa sababu ya uchaguzi tu unaleta hoja zako mtandaoni,jipime!.Nadhani unatakiwa kuwa wodini.
  6. M

    CUF waibua Mgogoro mpya, Shaibu Mketto kuzungumza kesho

    Hakika,ni mabadiliko tu hivi sasa.Zanzibar Maalim Seif na Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni Lowasa, basi.CCM mwaka huu watusamehe wakae pembeni,watazoea tu.
  7. M

    Kazi Kweli Kweli: Nani Amebadilika - Lowassa, Mimi au Wewe?

    Mzee wetu,umesomeka. Mimi ni mmojawapo kati ya wale waliokubali na kuzipenda hoja zako. Nasikitika sasa, unaeleza yasiyojenga labda una mawazo kama ya dr. Mi niseme kwa ufupi tu NI WAKATI WA MABADILIKO CHANYA. Hakuna namna nyingine, kitendo cha kugeuka nyuma au kuonesha hofu na kamanda wakati...
  8. M

    Hivi kwa nini ccm haikubaliki mwaka huu

    Wapenda mabadiliko wote,wanataka mfumo mpya!Kwa maneno mengine malofa na wapumbavu kama alivyotupa jina mh.mkapa.mi binafsi nimelipenda jina hilo.
  9. M

    CCM mlizarau maoni yetu ya katiba, ngoja tuwaadabishe.

    Haswa,umenena mkuu tuna machungu sana,fedha zetu,muda na katiba bora isipatikane.kama walikusudia kuandaa katiba ya ccm,wangesema tu.kuliko mchezo walioufanya,kutufanya hatuna akili.Mabadiliko mbele kwa mbele,ccm tupa kule ili tupate katiba ya wananchi.
  10. M

    Lukuvi awachambua wizi wa kina sumaye lowasa

    Angeanza na katibu wao,yule wa meli zenye pembe za ndovu na haya ya karibuni ya ESCROW nk yanayojulikana,waache unafiki na chuki binafsi!
  11. M

    Wimbo wa CCM ni ileile oooh ni ile ileee, usitumike Kwenye Kampeni

    Ni ile ile,hawana jipya.Hata mabadiliko hawana.shauri yao wanaoendelea kudanganywa.Na wakipita tu,katiba yao wanaipitisha pia.maana ni ya ccm ile,si ya watanzania.
  12. M

    Yaliyojiri StarTv: Mahojiano Maalum ya Dr. Slaa na Star TV - Tarehe 4 Septemba, 2015

    Hawako serious,kuendelea kulazimisha kuwa kashfa ni richmond pekee,na mhusika ni EL hatumtendei haki.Kwanini serikali imeendelea kukaa kimya,asifikishwe katika vyombo vya sheria?.Nini kinaogopwa hapo?.Au masuala ya EPA,ESCROW,KAGODA nk,mbona yameishia hivi hivi tu?.Tuache chuki binafsi na ushabiki.
  13. M

    Yaliyojiri StarTv: Mahojiano Maalum ya Dr. Slaa na Star TV - Tarehe 4 Septemba, 2015

    Hakuna hoja ya kujibiwa,sana sana amesema ameacha siasa.Vema atulie afanye mengine.Kuendelea kujitokeza katika media na kumshambulia El kuhusu richmond,akamwulize aliyetajwa kuwa ndiye mhusika.Ukweli utabaki kwamba anawasemea watu waliomtuma au wanaomlipa.Pengine hawajaridhika ameacha hoja au...
  14. M

    Umeambiwa, Lowassa ni muongo, tapeli, fisadi, na bado una mshabikia! Una matatizo makubwa

    Safi,amejulikana rangi yake mapema,labda ni sehemu ya goli la mkono!
Back
Top Bottom