Recent content by Masaa mbele

  1. Masaa mbele

    Haya mafuta ni hatari sana

    Madhara ya ayo mafuta ni yepi Sent using Jamii Forums mobile app
  2. Masaa mbele

    Haya mafuta ni hatari sana

    Umewahi tumia aya mafuta mkuu??? Sent using Jamii Forums mobile app
  3. Masaa mbele

    Haya mafuta ni hatari sana

    Nasikia yana viambata sumu Sent using Jamii Forums mobile app
  4. Masaa mbele

    Haya mafuta ni hatari sana

    Nasikia unakuwa albino ukipakaa,,yen mweupe kupita Sent using Jamii Forums mobile app
  5. Masaa mbele

    Haya mafuta ni hatari sana

    Aya mafuta ni atari sana, nasikia ukipaka unakuwa mweupe sana. Sent using Jamii Forums mobile app
  6. Masaa mbele

    Biashara ya nguo, viatu, mikoba na cosmetics kutoka Uganda

    Asante kwa ushauri wako Sent using Jamii Forums mobile app
  7. Masaa mbele

    Biashara ya nguo, viatu, mikoba na cosmetics kutoka Uganda

    Wakuu Nataka anzisha biashara ya nguo na viatu vya kike,,emu nipeni infoz kuusu biz nez hii,,its serious issue Sent using Jamii Forums mobile app
  8. Masaa mbele

    Yajue haya

    Hivi ni baadhi ya vitu sahihi vya kula vinavyoendana na blood group yako. Kila mtu aangalie blood group yake na ajue vitu gani ale na vipi asivile. ZIFAHAMU GROUP (KUNDI) ZA DAMU NA TABIA ZAKE ILIUJINUSURU NA MAGONJWA YAEPUKIKAYO. Kundi lako la damu linaweza kukufanya uwe dhaifu au imara...
  9. Masaa mbele

    OLDBONGO MIXTAPE

    Sawa,,ngoj 2subir
  10. Masaa mbele

    OLDBONGO MIXTAPE

    Wakuu,, Naomba mwenye kujua mixtape nzuri ya nyimbo za zamani za bongo anijuze na mie nipate idownload
  11. Masaa mbele

    Hawa hapa Waliochaguliwa Kidato cha tano, Wanafunzi 3,000 waliofaulu waachwa

    Wakuu... Second selection zinatokaga mwezi wa ngapi coz kuna mdogo angu alikuwa na division two lkn kwenye 1st selection jina lake halipo kabisa
  12. Masaa mbele

    post za kidato cha tano zimetoka

    Daaah,,kuna mdogo angu apa alikua na two lkn cha ajabu hayupo asee kwa selected,,apa sa iv analia tyuu wakuu
  13. Masaa mbele

    Fahamu zaidi kuhusu la ugonjwa wa Vitiligo na tiba yake

    Zimeanza tokea nikiwa na miaka sita mkuu
Back
Top Bottom