Hiki kibonzo kinatoa picha na ujumbe mzito sana. kuna vitu viwili:
1.Kopo kuisha dawa na kurushiwa kwenye moto, maana moto ni mkubwa sana
2. Aliyeshika kopo kuchoka kabla ya spray kuisha na kuamua kulitupia kopo kwenye moto likiwa Bado na spray
Mara nyingi shughuli zenye Malengo inapofikia Muda wa kufanya upimaji kitu cha kwanza kinachoangaliwa ni Kama Malengo yamefikiwa, sasa upimaji wa mafanikio unaweza Kuwa wenye kupenda kupata Matokeo ya Muda mfupi, wa Kati au Muda mrefu. Operesheni hii inaweza kutoa Matokeo ya aina tofauti, ingawa...
Mh! sala zinahitajika za nguvu, kama mtu unaweza kupoteza muda kuandika kitu kama hiki ili watu wachangie? haina hata haja ya kumtukana huyu mtu wala kumkebehi rather ni vyema watu wakamuombea anahitaji sana sala, mnooo! its very sad...
Mwombeeni kwa mungu anahitaji sana sala zenu, kuwa katika cheo kama alicho nacho na kuwa na moyo mgumu usio na upendo hata kwa ndugu zako walio kijijini wanateseka na hali duni ya maisha na bado unakuwa umekakamaa kulinda na kutetea madhambi...kwa kweli si kitu kidogo, kinahitaji maono ya ajabu...
Another funny and sad comment - hizi comments sidhani kama zinapaswa kutoka kwa mtu kama wewe, its so dissapointing kwa mtu ambaye watu wengine wangepaswa kumuona ni role-model wao anakuwa na comments za namna hii. Its a shame, if i were you, ningebaki kusoma tu comments bila kupoteza muda wa...
Are you for real???? hizi comments sidhani kama zinapaswa kutoka kwa mtu kama wewe, its so dissapointing kwa mtu ambaye watu wengine wangepaswa kumuona ni role-model wao anakuwa na comments za namna hii. Its a shame, if i were you, ningebaki kusoma tu comments bila kupoteza muda wa kujibu...
Where is the connection here with the main Topic? - why dont you start looking for photos za Mh. Malecela na Mke wake, Mh Sitta na Mke wake, Watoto wote wa viongozi wa chama waliopo bungeni kwa kiti hicho hicho kinachotawala etc etc...dont be biased! na zaidi jaribu kuwa na hekima unapochangia...
Laana ya watanzania maskini at its best! - endelea tu na maneno yako, bahati nzuri Mungu huwa halali na sala za watanzania zinaendelea, ipo siku utarudi kumeza maneno yako. Ubarikiwe sana...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.