Asante sana mleta mada. Kwanza Monduli hakuna shule za kata, shule zote ni bweni, pili kuna hospitali kubwa, nzuri na huduma safi kuliko ya mkoa (mt. meru) , tatu barabara ni lami, nne ardhi ya monduli ni kame (hakuna mto wala ziwa wala bahari) ila ametoa maji Meru ambapo wanaoishi meru hawana...