Vurugu Kinondoni, Dar: Mabomu yatumika kutuliza ghasia

Status
Not open for further replies.
hayo maigizo wewe Gamba... Mwanahalisi online ilisharipoti toka jana Usiku kwa kwenye kikao cha Mwakyembe, Slaa, Masaburi na Police wao walikubaliana Vijana wapewe kibali cha Kuandamana kuunga mkono tamko la Slaa ... walisema ili iwe effective wavalishwe tshirts za CHADEMA ... Agizo la Chama Tawala likapewa Tender kama kawaida ... Vijana ni wale wale waliokuwa wanaleta fujo Mahakamani wakati ule ZZK alikwenda kupinga kutimuliwa CDM ... CCM wanatabirika sana .. Vijana wenyewe washaropoka kuwa wamepewa Buku 5000 ...
Hapa ndipo ninapozishangaa akili za Mbowe.

Ivi yeye anafikiri Slaa hajaondoka na watu wake tena ma alfu kwa ma alfu.

Mbona anaamini Lowasa kamletea watu milioni.

Sijui akili za wapi hzi.?
 
Pichaaaa
 

Attachments

  • 1441211667532.jpg
    1441211667532.jpg
    26.4 KB · Views: 457
Hao sio chadema ni vibaraka wa CCM Slaa kapanda ndege kaingia mitini. Jamani Lowassa atawaua CCM kwa presha wamemshindwa jukwaani wanataka kutuletea vurugu tu, CCM janga la taifa

mkuu wangu nakwambia ni janga hawa watu ni majanga makubwa kweli tulikuwa malofa kuwaacha hawa watu kutuburuza kwa miongo yoye hii...sasa hivi ni dhahiri hawataki kuachia kijiti...hili ni janga.
 
hiyo picha wapo polisi au wapi??
vijana wenyewe wawili ndo waliandamana au?
walichezea kichapo toka wapi?
 
Nadhani ni zile taarifa kuwa CCM wameandaa vijana watavishwa sarre za chadema waandamane kumuunga mkono slaa. Vipi polisi wameingilia kati?

Hehehe ndo wAwapige mabomu vijana wao? Hahahaha kimenuka chadema
 
Maandamano yatapewaje kibali na polisi leo?

Wakitoa kibali nayo UKAWA iandae yao ya kumuunga mkono LOWASSA..
 
mungu wangu mbona wamewapa tena nafasi ya kupumuwa next time makamanda msifanye hivyo!
 
Ahahaha, nilishajua toka jana kuhusu hawa jamaa kuandaliwa ili waandame as chadema members. ccm sasa mnazidi kuishiwa mbinu. Ahhahahaha. Endeleeni na maagizo
 
hiyo picha wapo polisi au wapi??
vijana wenyewe wawili ndo waliandamana au?
walichezea kichapo toka wapi?
walichezea kichapo kutoka kwa malofa! sijuwi kwanini wamewapa nafasi ya kupumuwa!
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom