Recent content by Marumeso

  1. Marumeso

    JamiiForums Tanzania Kifo cha mende ndiyo mtindo pendwa zaidi kwa wanawake

    Huu ni uzushi upuuzwe
  2. Marumeso

    JamiiForums Tanzania Janga la VVU lakatisha ndoto zetu

    Nimecheka apo manesi walivokuwa wanawashangaa. Manesi s'times wana ujinga mwingi sana😄😄apo ungezubaa kidogo wangeanza kukuminyaminya kukuhakiki km ni wewe au🤣
  3. Marumeso

    JamiiForums Tanzania Mwaka 2021, 70% walioambukizwa VVU Tanzania ni Wasichana

    Binadam anajifunza kwa kuona. saivi hakuna madhara ya UKIMWI yanayoonekana na bado kuna usiri mkubwa sana. serekali ni km imekaa pembeni kwene kuelimisha watu. Ugonjwa hauwezi kuisha huu.
  4. Marumeso

    JamiiForums Tanzania Shime! Watanzania wenzangu, kesho 1/12/22 twendeni tukapime VVU

    Wikendi inaelekea kuanza vema ila huyu anataka kututoa kwene reli. kiongozi humu tunashare stori nzurinzuri za mitungi, mademu pisikali, viwanja vikali vya watrotro wazuri.
  5. Marumeso

    JamiiForums Tanzania UN: Nchi za Afrika hazina malengo ya kupunguza vifo vinavyotokana na maambukizi ya VVU

    Hawa kumbaff wanataka kuitumia ngoma kuhalalisha ushoga.... huyo maza kumbaff sana apeleke hizo mambo kwao Rwanda kama hajabalaswa na kagame
  6. Marumeso

    JamiiForums Tanzania Anatafutwa Single Maza

    ☆Awe na kazi yake ya kuajiliwa au kujiajiri ☆Asiwe na njaa ☆Asiwe na mtoto anaemtegemea ☆Awe huru asiwe na vidumu a.k.a madume wengine ☆Dini au rangi sio ishu Single Mazaz Karibuni
  7. Marumeso

    JamiiForums Tanzania Naenda Hungumalwa. Naomba kuelekezwa lodge yenye mabinti wazuri

    🙆‍♂️🙆‍♂️🙆‍♂️
  8. Marumeso

    JamiiForums Tanzania Wanafunzi wengi waliomaliza vyuo vikuu hawana reasoning and cognitive skills

    mkuu unantia machungu nna mmoja hapa kuna kazi niko naye ni majanga matupu. yaani spelling haziungi mwanzo mwisho. sijui hata wanasoma nini huko chuoni.
  9. Marumeso

    JamiiForums Tanzania ONYO: Abood Bus waonye Madereva wako, Mwendokasi unaua abiria wasio na hatia

    Daah hawa jamaa wote wa mabasi makubwa na wenzao wa serekali wanajikuta wao pekee ndo wenye haki ya kutumia barabara. Wanaovateki hovyo tena hata hawajali uwepo wa gari zingine hasahasa hizi gari ndogondogo.
  10. Marumeso

    JamiiForums Tanzania Kwanini mazishi ya waliokufa na ndege huko Bukoba yanagharamiwa na Serikali? Wanaokufaga na mabasi?

    kwaiyo unataka kudai Precision ipo ligi moja na Bunda Bus Service au?
  11. Marumeso

    JamiiForums Tanzania Kama Biblia na Quran zingeletwa Mahakamani zithibitishe yaliyomo ndani yake, Quran ingeangukia pua

    daah we jamaa kumbe sio wa kispotispoti,,umepiga kwenye mshono watu wanaweweseka ovoovo
  12. Marumeso

    JamiiForums Tanzania Wamiliki wengi wa majokofu/friji wanauelewa mdogo juu ya utendaji kazi wake

    Asante mkuu kwa elimu hii muruwa kuhusu friji kiukweli tunapigwa sana na hawa wanaojiita "mafundi " unaweza kumwita fundi aje kutengeneza kumbe ndo anaharibu mazima unakuta fridge huwezi kutumia tena.
  13. Marumeso

    JamiiForums Tanzania Ushauri unahitajika kwa dada yetu

    Hapa hakuna mke. eti jamaa kabadilika umeshajiuliza ni kwann kabadilika?
  14. Marumeso

    JamiiForums Tanzania Nina mwezi sasa sijasimamisha hata nikiamka asubuhi ngoma hola

    mkuu weka kwanza picha ya huyo jolybebe ulomtaja apo tukushauri vizuri
  15. Marumeso

    JamiiForums Tanzania Serikali ipige marufuku ARV's kuingizwa nchini, zinasambaza UKIMWI

    Ndom zinasaidia sana. Bila ndom hali ingetisha.
Back
Top Bottom