Recent content by martinezmarty

  1. martinezmarty

    Series (Special thread)

    Wapi naweza kudownoad House of dragrons season 2 episode ya 1 na ya 2?
  2. martinezmarty

    UPDATE: Wizara ya Afya yaunda Kamati kuchunguza Malalamiko ya Madaktari Watarajali

    Watu wana compare kabosa mitihano ya sekondari na ya udaktari dah hii nchi hii[emoji119]. Watu waelewe Mtu mpaka anamaliza internship anakua amefundishwa na wataalamu wengi sn sio tu lecturer,sio tu Daktari wa hospitali za kupractice baada ya darasani, na sio tu Dajtari bingwa wa magonjwa na...
  3. martinezmarty

    UPDATE: Wizara ya Afya yaunda Kamati kuchunguza Malalamiko ya Madaktari Watarajali

    Ungekua umeuona huo mtihani,namna ya kujib na hta idad na namna ya maswali yanavyoulizwa sku zote majib yatatofautiana kutokana na level ya Hospital mtu aliyofanyia internship. Braza ni ngumu kuelewa kwa kuandka hapa ila kiuhalisia mtihani huo sio standard ya kusema ndo I decide miaka sita ya...
  4. martinezmarty

    UPDATE: Wizara ya Afya yaunda Kamati kuchunguza Malalamiko ya Madaktari Watarajali

    Mm sijapinga mtihani ila nasema bado sio kigezo sahihi. Unadhan kutibu ni kufanya mtihan tu? Inategemea na exposures pia. Ushaona mtihani huo maswali yake? Unajua yamebase wap? Level ya hospitali husika? Decision-making ya kujib swali husika unaeielewa kua inadepend na mambo meng?
  5. martinezmarty

    UPDATE: Wizara ya Afya yaunda Kamati kuchunguza Malalamiko ya Madaktari Watarajali

    Yan unalinganisha form 4 na chuo cha afya em acha hzo ww. Hapa ni mkufunzi wa hali ya juu anatumika,mwanafunzi pia na yeye anajiadjust kila miaka ili kutoka kuwa kwenye vitabu na kuwa na clinical skills
  6. martinezmarty

    Nusu ya Madaktari wafeli mtihani. Serikali acheni kudahili vilaza wa "D" kwenye taaluma inayogusa uhai wetu

    Safi mwanang, mchane hyo. Anadhani ni rahisi tu kama anavyotype hapa
  7. martinezmarty

    Mitihani ndiyo njia muafaka ya kuhakikisha usalama wa wagonjwa, wizara ishikilie hapa

    Hayo mabaraza mengine yana pre internship na post internship exams? Kwa hyo na ww unaona ni sawa mtihani wa masaa 3 tena wa kuandika ndo utoe hatma ya miaka 6 ya masomo na utarajali? Haipo sawa popote pale duniani
  8. martinezmarty

    UPDATE: Wizara ya Afya yaunda Kamati kuchunguza Malalamiko ya Madaktari Watarajali

    Miaka mi5 ya Medical school halafu mmoja wa internship halafu mtihani wa masaa ma3 unaamua hatma ya mtu hyu dah sometimes tukubali kuna mambo hayakuwekwa sawa. Hivyo kwa kunyima leseni na yeye kukaa nyumbani ndo kunamuongezea uwezo? Hapana
  9. martinezmarty

    Series (Special thread)

    House MD Scrubs Monday Mornings
  10. martinezmarty

    Jirani yangu wa kule Goba hakuwa mtu wa kawaida

    Story tamu sana Steve. Kusubiri muendelezo kwa uchu nayo inaumiza sana sema ww tuma mwendelezo utakapojoskia na ntaisoma tu
  11. martinezmarty

    Jirani yangu wa kule Goba hakuwa mtu wa kawaida

    Story tamu sana. Wanaokosoa achana nao. Mimi hata ukisema BIG alikua pacha wako sina tatzo,cha msingi stori inaenda[emoji28]
  12. martinezmarty

    Kuna dawa ya kienyeji ya kutibu ugonjwa wa kisukari?

    Inawezekana lakn tatzo ni madhara kwenye ini na Figo mara kwa mara ndo yanayotesa baada ya muda mrefu wa kutumia dawa za kienyeji
  13. martinezmarty

    Msaada: Mdogo wangu anaumwa tumbo na miguu. Amefanya jitihada za matibabu lakini bado

    Possibly ni kwel tatzo la Ini,matibabu yake angeyapata muhimbili ingekua vizuri zaidi,ila aanzie hospitali ya mkoa kama amana au temeke then aombe rufaa kwenda Muhimbili. Hapo gharama pia zitapungua
Back
Top Bottom