Recent content by Martindarlin

  1. M

    Jerry Muro: Uongo wa dereva wa Lissu ni kusema umefuatiliwa na gari muda wote hujachukua hata Namba ya gari?

    Inawezekana njaa tu inamsumbua! Sent using Jamii Forums mobile app
  2. M

    Wanawake hii tabia ya kusema namba yangu umeitoa wapi inatukera sana wanaume hamjui tuu

    Kama unaweza kuwa na namba ya simu ya mtu bila idhini yake, wewe unaweza kuwa tapeli wale wengine . Sent using Jamii Forums mobile app
  3. M

    Mbona watoto wa Rais Magufuli siyo maarufu kulinganisha na watoto wa Kikwete?

    Hivi hili swali lako linatunatusidia nini Watanzania? Sent using Jamii Forums mobile app
  4. M

    Ndoa za wake wengi katika ukristo

    Hata wanawake waislamu ambao wanaaminishwa kuwa wsikatae waume zao wanapotaka kuoa mke mwingine huwa hawakubali kilahisi. Wivu unatoka wapi kama kuoa wengi inakubalika? Sent using Jamii Forums mobile app
  5. M

    Zitto Kabwe: Nimeshtushwa na tukio la bomu kwenye ofisi ya Mawakili wa IMMMA Advocates

    Mhhhh! Tunakoelekea sio kuzur. Vyombo vifanye kazi yake. Sent using Jamii Forums mobile app
  6. M

    Bomoabomoa Dar, wamefikia hatua ya kusema,"iko siku na yeye ataondoka"

    Usifurahie kilio cha wenzako maana kesho Italia wewe. Sent using Jamii Forums mobile app
  7. M

    Aliyevujisha siri ya Bombadier kwa Lissu asakwa

    Speechless Sent using Jamii Forums mobile app
  8. M

    Umeona nini kwenye hii picha?

    Ramani ya papuchi! Sent using Jamii Forums mobile app
Back
Top Bottom