Recent content by Martin2014

  1. M

    Msaada wana JF

    Natafuta aina hii ya Suzuki naomba msaada 0756178090
  2. M

    Hali ya zao la mpunga nchini ni mbaya msimu huu

    Kwa Morogoro pia hali si ya kiridhisha. Pia asilimia kubwa tunategemea mvua, lakini ni chache mno. Haswa huku maeneo ya Morogoro kaskazini.
  3. M

    Kahama VS Njombe/Mafinga

    Sijaelewa hizo malighafi tatu za mwisho zinatofautianaje na chanzo cha hizi takwimu pia bosi.
  4. M

    Wanawake wa Pemba na Kanda ya Ziwa wapigwe sindano ya uzazi wa mpango kwa lazima, wanatesa watoto

    Ni hoja ya msingi sana, isipuuzwe hata kidogo. Ipewe kipaombele kote nchini.
Back
Top Bottom