Pole sana! Lkn ni vyema kupata uhakika kama mita yako ilishaingizwa ktk system ktk ofisi za TANESCO. Bila hivyo ni sawa na kusema kuwa bado hujatambulika kama mteja, na nikushauri usiendelee kujaribu kununua ktk njia hizo kwa mara ya kwanza zaidi ya vituo vya tanesco
kuweka kituo cha kuzalisha umeme mikoa ya LINDI nA Mtwara,na kujenga transmission line itakayoingia katika gridi ya taifa ingepunguza gharama kubwa hata kama line ingeanzia kusini kuja dsm,tatizo hapa watakuambia kuna matumizi ya ziada kama viwanda na majumabani.All in all kama angalizo isije...
Inaweza kuwa ndogo kwa maisha ya sasa na majukumu anayotarajia kuwa nayo,ni vyema akakubali na aendelee kutafuta kazi nyingine kwani ni bora kupata kidogo kuliko kutopata chochote
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.