Recent content by Martin Maqway

  1. Martin Maqway

    Hela! We acha tu

    Duuuuu!pesa kwel hatari!
  2. Martin Maqway

    Ndio Shida ya Kuoa Mzaramo!!

    Nachoma makanga yote namnulia vitenge na mabatik maana haya maandishi.
  3. Martin Maqway

    Interview

    Huyo katisha!75kg walikuwa wanatufutwa washusha mizigo!
  4. Martin Maqway

    Brother yangu ameninyang'anya demu kisa ananisomesha na kunigharamia!

    Ushaur mzur mabext zangu mm nitayafanyia kaz mawazo yenu!
  5. Martin Maqway

    Wa mwisho ndiyo mshindi

    Mapato ni kitu mtu anachokipata ili kujikimu kimaisha
  6. Martin Maqway

    Wa mwisho ndiyo mshindi

    Maskin ni mtu ambaye ana hali duni ya mapato
  7. Martin Maqway

    Wa mwisho ndiyo mshindi

    Mjuaji sana anazid kuwa maskin
  8. Martin Maqway

    Utafanya nin ukiwa na mkeo chumban akitaja----

    Jaman jf tena naomben mnisaidie kwahili ukiwa na demu wako chumban ukiwa unafanya massage na yale mtamu yaliozidi hamu akakupa peremende mara ukasikia akitaja jina la rafki yako mfano(Ali ali, ali uww uww nakupenda sana,cntakuacha ali ) imagane ww ni shaban utamfanyaje?
  9. Martin Maqway

    Brother yangu ameninyang'anya demu kisa ananisomesha na kunigharamia!

    Ni mwaka 1 umepita tangia niporwe demu na brother yangu,Nilipokuwa kidato cha 3 nilibahatika kuwa na demu na nlipanganae nitamuoa wala cntamchezea nikaona bora nikamtambulishe kwa bro,bro alinisifu sana kwamba najua kuchagua wazuri,baada ya miezi 3 bro alinihamisha shule Mosh akidai huko...
  10. Martin Maqway

    Wana forum nisaidien je hili kosa ni lakumfukuzisha shule mwanafunzi au mwalimu?

    Ww hujui macho hayana pazia?mzigo wake aliachia mwenywe!MACHO YANA HAKI YA KUTAZAMA!
  11. Martin Maqway

    ----- na bosi wake

    ----- 1 alitoroka kazin nakwenda kwake kufika kwake alimkuta bosi na mke wake(mke wa -----)jamaa alipoona alinyata taratibu na kuridi mbio kazin alipofika kazin alishukuru mungu kwa vile hajaonwa na bosi huku akisema angejua nimetoroka kazn ingekuwa msala ahhhhhh ningefukuzwa! kama ni ww mwana...
  12. Martin Maqway

    Wana forum nisaidien je hili kosa ni lakumfukuzisha shule mwanafunzi au mwalimu?

    Tulikuwa na ziara ya kishule 2lipofika maeneo 2liyoyatembelea kila mmoja alijiachia,wakti 2mejiachia kuna mwalimu wetu wa kike alivaa kimini wakat amekaa nguo zake za ndan zilionekana,wakati huo taarfa ilimfikia kuwa kuna wanafunzi wanakucheki kidezein fulan, wanafunzi hao walifukuzwa shule je...
  13. Martin Maqway

    ----- na bosi wake

    Kuna ----- mmoja alitoroka kazini wakati bosi wake hayupo ofisini,alipofika kwake kamkuta bosi akiwa na mke wake (huyo -----),----- alirudi mbio ofisin huku akisema namshukuru mungu maana bosi hajaniona angeniona ningefukuzwa kazi!maana angejua nimetoroka ingekuwa msalaaaaaaa! kama ni wewe...
  14. Martin Maqway

    Wa mwisho ndiyo mshindi

    Wap!! hii ndo Tanzania ya amani
  15. Martin Maqway

    Msaada wako Msomi Mwenzangu.

    Ah mm napita,but mm nlijua nivyeti 2 vinagushiwa kumbe hadi umri!hii ndo dunia wanajamv!
Back
Top Bottom