usimfananishe pope na obama....na akija yule serikali haigharamikii chochote.....!yule anatoka kwenye taasisi ya pili kwa fedha duniani( katoliki )....analeta baraka na si vinginevyo...!
akili ndogo kutetea suala la jk kuagiza magari mia 7...ni uvivu wa kufikiri....aliyafanya hayo kwa kujua kuwa kuna udangayifu mkubwa wataufanya ktk uchaguzi ili kujihami na ndicho kilichofanyika ....halafu ujinga mtu anakuja anatetea....shiiiiiit
we unamuita Lowasa mgonjwa we mzima?tunakujua cc?mmekosa hoja ni kusema mgonjwa mgonjwa.....we una kibali cha binadamu kuishi duniani...kama Mgonjwa mpe mkeo basi uone km hajazaa mapacha saba...kenya walimuapisha Rais yuko kwenye wheel chair Lowassa ataapa akiwa amesimama kwa miguu yake mjifunze...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.