Hii shule ada yake umeambiwa ni 4.5m kweli kuna aja ya msaada hapa? Jimboni kwake barabara hazipitiki na mvua hizi nadhan kuna vijiji havina mawasiliano madaraja yamebomoka, madispensary na hospitals hakuna madawa sasa si bora angesema ameomba wa kusaidia jimboni kwake!!!
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.