Recent content by Maroah

  1. Maroah

    JamiiForums Tanzania Rai: Vyombo vya Habari VISUSIE Habari za mkuu wa mkoa Dar kuanzia Leo

    Naona mtoa uzi ukanye kwanza maana unaumwa mavi.
  2. Maroah

    JamiiForums Tanzania Wasanii wa Tanzania wagombania kupiga picha na msanii Wizkid!

    Anakipenda Ila ndo hivo kinamkimbia[emoji23] [emoji23]
  3. Maroah

    JamiiForums Tanzania Wasanii wa Tanzania wagombania kupiga picha na msanii Wizkid!

    Diamond hapatikani ovyo kama nyanya.[emoji41] [emoji41]
  4. Maroah

    JamiiForums Tanzania Wasanii wa Tanzania wagombania kupiga picha na msanii Wizkid!

    Mimi nimeona aliyekuwa anapiga picha naye ni Shilole, then Gardna naye akaomba apige naye picha. Sasa hilo la wasanii wakigombania kupiga picha umelitoa wapi wewe mtoa Uzi??? Acha ushamba hata kama kingereza hujui
  5. Maroah

    JamiiForums Tanzania Sengerema: Watumishi wote watakiwa kukesha kwenye mbio za Mwenge, atakayekosa kukiona

    Kwahiyo wewe ndo una akili si ndiyo? Basi wewe ni mpumbavu kuliko mjinga mwenye utindio wa ubongo. Ulishakuwa mfanyakazi mwajiriwa wewe japo hata kwa sekta binafsi? Unajua nini maana ya kupewa posho kwa ajili ya tukio maalum? Mimi ni mtumishi wa serikali, nakushangaa wewe unayejifanya kujua...
  6. Maroah

    JamiiForums Tanzania Bunda: Madiwani wa CCM wagomea Madawati yaliyotolewa na Mbunge wa CHADEMA Mh. Bulaya

    Basi na Rais angeandika jina lake kwenye madawati aliyosambaza nchi nzima
  7. Maroah

    JamiiForums Tanzania Bunda: Madiwani wa CCM wagomea Madawati yaliyotolewa na Mbunge wa CHADEMA Mh. Bulaya

    Watu wa misaada sawa waandike majina yao maana ni charity. Ila mbunge ni sehemu ya majukumu yake. Charity differs from responsibility
  8. Maroah

    JamiiForums Tanzania Bunda: Madiwani wa CCM wagomea Madawati yaliyotolewa na Mbunge wa CHADEMA Mh. Bulaya

    Hata Diamond alitoa madawati 600 classic yenye thamani ya mil. 60 Ila hakuandika jina lake. Sasa iweje huyo Bulaya na vijidawati vingapi tu tena vya hivyo hivyo viandikwe jina lake??? Basi na Magufuli angeandika jina lake kwenye Yale aliyoyatoa nchi nzima ili iwe kampeni tosha kama Bulaya...
  9. Maroah

    JamiiForums Tanzania Sengerema: Watumishi wote watakiwa kukesha kwenye mbio za Mwenge, atakayekosa kukiona

    Sasa posho ya kukesha na track suit umechukuwa halafu usiende! Thubutuuuu!!
  10. Maroah

    JamiiForums Tanzania Sengerema: Watumishi wote watakiwa kukesha kwenye mbio za Mwenge, atakayekosa kukiona

    Ni lazima, na ni sehemu ya majukumu yake
  11. Maroah

    JamiiForums Tanzania Sengerema: Watumishi wote watakiwa kukesha kwenye mbio za Mwenge, atakayekosa kukiona

    Unapoambiwa wewe ni mtumishi wa serikali elewa ulichoambiwa! Hakuna cha GSO wala nini. Boss wako akikuita hata saa name za usiku kwa shughuli za kiofisi utasema ah bosi siji maana kazini ni saa 08.00 - 17.00? Jiongeze, mikesha ya mwenge ni sehemu ya majukumu ya mtumishi wa serikali
  12. Maroah

    JamiiForums Tanzania Magufuli unasumbua watumishi wa umma. Watakosa motisha.

    Aise wewe jamaa umenichekesha! Hizo akili za mwendokasi umezitoa wapi??
  13. Maroah

    JamiiForums Tanzania Nikimchambua Dr. Mwaka mimi kama Daktari bingwa mwenye taaluma hiyo

    Sasa kama watu wanatibiwa na wanapona shida iko wapi[emoji15] [emoji15]
  14. Maroah

    JamiiForums Tanzania Nimechoka na maisha ila tumaini lipo

    The teh teeeehhhh[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] ...hisi singine sinsitwa sentensi tata
Back
Top Bottom