Recent content by Maro J

  1. M

    JamiiForums Tanzania Makamba ashangazwa na vichwa vya habari vya haya magazeti kuhusu Lowassa

    Naanza kupata ufahamu kuhusu tuhuma za galanos kidogokidogo. Aache kushangaa TBC chombo cha habari cha taifa ambacho kinaendeshwa na kodi zetu anakuja kushangaa magazeti yanayoandika anachosema mhusika!! Sasa kama lowassa alisema MSIOGOPE yeye alitaka waandishi waandike nini? Kama hii ndio aina...
  2. M

    JamiiForums Tanzania Dawa ya polepole imepatikana Clouds Tv

    Ukiseme hivyo utoe na sababu inayokufanya useme hivyo! kihiyo wewe
  3. M

    JamiiForums Tanzania Hotuba ya Dr. Slaa kwa Watanzania toka Hoteli ya Serena - Tarehe 1 Septemba, 2015

    Nakuunga mkono asilimia mia moja! labda kupiga kwao makofi kulimfanya Dr akajua hapa hamna kitu ndio maana alikuwa anawananga kabla ya kujibu maswali yao.Dr namuona kama mtu wa hovyo sana ambaye sijapata kuona Tanzania na duniani kote.
  4. M

    JamiiForums Tanzania Hotuba ya Dr. Slaa kwa Watanzania toka Hoteli ya Serena - Tarehe 1 Septemba, 2015

    Siasa za nchi yetu ni siasa za maji taka! Sikuelewa ana manisha nini haswa.Kama suala ni kusema na kukanusha yaliyokuwa yanasemwa juu yake masuala ya kuongelea watu na kutoa rundo la makaratasi linatoka wapi? Hapa kuna kitu na muda utatuambia tu!Nimeamini hata viongozi wetu wa dini ambao...
  5. M

    JamiiForums Tanzania Hotuba ya Dr. Slaa kwa Watanzania toka Hoteli ya Serena - Tarehe 1 Septemba, 2015

    Siasa ni karata Usifanye majumuisho! tuliza akili hadi tarehe 24 oct utaujua ukweli! huo ni upande mmoja subiri upande wa pili utajikuta tareh 25 oct unalo jibu sahii.
  6. M

    JamiiForums Tanzania Huyu ndiye LOWASSA, leo sa 3:00 usiku huu ITV usikose

    Acha ukabila! jadili hoja
  7. M

    JamiiForums Tanzania Dr. Slaa kuzungumza na Vyombo vya Habari, Serena Hotel - Septemba 1, 2015

    Teddy samahani sijui unatumia kigezo gani kusema yamefanyika makosa, hamna makosa kwa kuwa kupokea wanachama wapya na kuwapa nafasi si kosa! Vikao halali vilikaa na akiwemo Dr na wakakubaliana kwa pamoja kuwa wampokee na kumbuka hapo ni baada ya vikao vya chama kumuuliza maswali Lowassa na...
  8. M

    JamiiForums Tanzania Dr. Slaa kuzungumza na Vyombo vya Habari, Serena Hotel - Septemba 1, 2015

    Dr slaa alikuja akakikuta chama na hata akiamua kuondoka atakiacha chama kikiendelea! Chama sio kikundi cha biashara mtu akijiondoa na mtaji wake biashara inakufa. Walikuwepo kina mtei na bob makani na walipostafu chama kiliendelea kuwepo, walikuwepo kaburu, zito, na wengine wengi tu na...
  9. M

    JamiiForums Tanzania Dr. Slaa kuzungumza na Vyombo vya Habari, Serena Hotel - Septemba 1, 2015

    Usitusemee! sema wewe unamwamini sio Watanzania! NI utafit gani umefanya? Wewe ndio unaemuamini na si watanzania.
  10. M

    JamiiForums Tanzania Samweli Sitta, fanya mdahalo na wafanyakazi wa TAZARA kwanza

    Iko nyingine ya Dar
  11. M

    JamiiForums Tanzania Samweli Sitta, fanya mdahalo na wafanyakazi wa TAZARA kwanza

    Sitta kama sijakosea ni mwanasheria aliehitimu kutoka Chuo kikuu huria cha Tanzania, Ni lini mtuhumiwa akatakiwa kufanya mdahalo? Mahakama ni za kazi gani? Hawa watu wamefika mahali wanatuona waTanzania ni mazuzu ee? aliezima mjadala wa richmond ni yeye kipindi akiwa spika wa bunge leo anasema...
  12. M

    JamiiForums Tanzania Special thread: Kampeni za mgombea Urais wa CHADEMA/UKAWA nchi nzima kuelekea 25 Oktoba, 2015

    Askari au mwanajeshi akiasi mapambano hata kama alikuwa ni kamanda wa cheo cha juu namna gani huwa thamani yake haipo tena! Acha kujaza watu -----!
  13. M

    JamiiForums Tanzania Kiboko ya Sumaye ni Mary Nagu

    Usikurupuke kusema usilolijua! Unajua Sumaye alishindwa na Mary Nagu katika mazingira gani? Kama kitu hukijui ni bora ukanyamaza kwa kuwa utahesabiwa hekima! Uliza wanaejua ule uchaguzi ulikuwa vipi halafu watakwambia nini kilifanyika then ndio urudi hapa kuandika huu u..p..zi
  14. M

    JamiiForums Tanzania Huyu ndiye LOWASSA, leo sa 3:00 usiku huu ITV usikose

    Kwani Dr slaa ni Shekh Yahaya! acha akili za kushikiwa na manati
  15. M

    JamiiForums Tanzania Dr. Slaa kuzungumza na Vyombo vya Habari, Serena Hotel - Septemba 1, 2015

    Sijawahi kuona mtu ambaye amewahi kuwa padre akawa na uchu wa madaraka! hii ndio naanza kuiona sasa hivi! kama walimuita ili ajieleze na akajieleza na wakamuelewa sasa Dr alitaka nini? eti aruhusiwe ila asipewe kugombea nyadhifa kubwa nyooo!! Wewe Dr wewe ona aibu! yaani lowassa awe pembeni kuwa...
Back
Top Bottom