Ww jiulize tu toka 2005 serikali yetu bdo inaangaika na ujenzi wa madarasa
Tulianza kwa kujenga wenyew japo tunatoa kodi mpaka sasa tunajenga kwa ela za covid bdo atujaanza kuwekeza kwenye vyuo vya ualimu wala kwenye kuajili
Ni kweli yawezekan mh rais anania ya dhati kubadilisha mfumo wa elimu lkn chini ya mfumo wa utawala huu ambao muda wote unajipanga kutawala na si kuongoza atuwezi kupata mfumo bora.
Ubovu wa mfumo wetu wa elimu ni mtaji wa watawala kma tu huu mfumo na ubovu wake wanapata shida watakubali kuweka...
Mradi wowote ambao kma taifa tulikuwa hatuna utayar nao ata kma unafaida kubwa kiasi gan huwa unamatokeo mabaya moja kuto kukamilika kwa wkt mbili kuendeshwa kwa hasara So kwnye ndege asala kma tunavyo ambiwa na kweny huu SGR ndo hivi
Kwaiyo serikal imeshindwa kutengeneza mazingira wezeshi watu wawekeze kwenye uzarishaji wa sukari japo tunaeneo kubwa la kuzarisha iyo sukar sisi kma Tanzania sukar isingekuwa miongon mwa changamoto mana tuna kila kitu ardhi ipo matajir wenye uwezo wa kuwekeza wpo soko la kuuza lipo wataalam wp...
Sasa ao wengine atapata wp wkt wote ni ccm mawazo yao na akiri zao zinafanana wote wamejengwa kwa msingi wa kutawala sio kuongoza unategemea afanye nn mama muachen tu nae apite kma walivyo pita wengine tu mpka tutakapo pata akili tutaamua maamuzi magumu
Ni kweli lakini sukari nitatizo ila tatizo kubwa ni mfumo nchii bdo atuna viongozi wa kutuongoza bali tuna viongoz wa kututawala ndomana kila anae kuja anakuja na yakwakwe anayo yaona yko sahii yan wenye mamlaka na nchii hii atuma maamuzi kinachofanyika ni nchi kurud kwenye mikono ya madaral so...
Mwendazake ni neno la kiswahili ambaro maana yek ni mtu alie tutoka kweny uso wa dunia ila linatumika sna kwenye mtu ambae kwa namna moja au nyingine alikuwa sorce ya watu
Yah neno mashiko nineno la kiswahili fasaha kuna neno mashiko na mantiki ni maneo mawili tofaut ila yenye maana inayo fanana tofuti yke kwenye matumizi tu mf hili jambo tunalo jadili halina mantiki yeyote kwenye maisha yetu maana yake halina faida,tija na kwakukazia hilina Mashiko
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.