Hongera mkuu.
Mpaka kufika hatua hii umeweka mbolea mara ngapi?
Unaweza kuziandika kwa kila hatua?
Makadilio ya muda kutoka kupanda mpka kukomaa kwa hyo mbegu ni siku ngapi?
Nb: Nashkur kwa update unazotoa hakika nimeendelea kupata elimu na ninaamin itanisaidia👏👏
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.