Nimesema kuanzia msingi then me sina haja ya ku fake maisha sjawai kuwaza ata siku moja ndo mana me hua mvivu mno kubishana na mtu
Ila kama upo Dom ni PM uje home
Pia katika nyumba ya ndoto zako kuna mda inatakiwa uwe mkali mana engineer atakua anakosoa mno mara hii kubwa ya kazi gani, mara sjui itakula eneo kubwa we usijali peleka moto2 af mwisho wa siku anakuja kusema mwenyewe kua kumbe uliona mbali
Me nimepinashana sana na engineer wangu kwanza...
Yeah ni ajira ila ndo ivo ukibahatisha kitengo kizuri inabidi ufanye juu chini kazi yako ili flect na makazi yako yan sehem unayoishi ukimpeleka mtu akuangalie mara 9 bila kukumaliza akiangalia umri na mzigo uliosimama.
Kiufupi me napenda mtu ukifika kwangu ukae kwanza uanze kunihoji...
Ndo nikakwambia kua nimeikimbia saiv kwa ilipofikia inatosha2 kuhamia kibishi it means ad mwakan tena nitairudia saiv nifanye mambo mengine ya msingi pia umenipa assignment ya kufukuzia sqm nitaifanya mkuu
Mpaka ni review tena coz engineering tulipishana kauli mana yeye akawa anafata inavotaka Raman me nikamkatalia mfano sity room alitaka iwe na ukubwa kama wa kwenye Raman nikamwambia noooooo hapana twende sehem kuna sitting room tukaipime ni bonge la sitting room tukaenda akapima na room room...
Nimehamia mwaka huu nikiwa na miaka 29 nyumba nj kubwa ina room 4 na zote ni room kubwa pia nyumba ina kila kitu sitting room ni kubwa sana sana mpaka sana tena mpka hapa nyumba imekula million 86 na bado inaomba kama million 40 tena ili ikae inavotakiwa nyumba ina tofali 68,500 kuanzia msingi...
Wale wanawake wanaharakati wa haki sawa kwa mwanaume na mwanamke yani akipika chamchana na wewe uwahi upike cha usiku,,,, nje na hapo anasema unamnyanyasa
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.