Recent content by Market maker

  1. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Cost comparison SGR Kenya vs SGR Tanzania

    JAMANI JAMANI SGR HUKU NJIANI SIJUI JAMANI JAMANI
  2. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

  3. M

    JamiiForums Tanzania Kuwa na mahusiano na mabinti wa vyuoni na walimu wao, njoo ujionee

    Huku university nimeona mdada mmoja hivi daaaa acha nitaleta Uzi siku.
  4. M

    JamiiForums Tanzania Kuwa na mahusiano na mabinti wa vyuoni na walimu wao, njoo ujionee

    Yah kweli, 😂😂😂😂 Sijawahi kuwa mwalimu, Nimevaa uhusika tu, mtu anayefanya hivyo awezi andika hayo. 😂😂 Nimeandika kama mwanafunzi niliyoyaona. Yani unakuta mwalimu anagombana mpk na mwanafunzi Kisha Binti wa darasani
  5. M

    JamiiForums Tanzania Mwanamke akibiwa hospitalini na mwanaume wake baada ya kutembelewa na mzazi mwenzie.

    Daaa sijui kwa Nini inakuwa hivi.
  6. M

    JamiiForums Tanzania Kuwa na mahusiano na mabinti wa vyuoni na walimu wao, njoo ujionee

    Mimi nipo university now, Nimepita diploma Yapo sana hayo. Mpk university japo university Kuna pesa ndo zinatumika sana.
  7. M

    JamiiForums Tanzania Kuwa na mahusiano na mabinti wa vyuoni na walimu wao, njoo ujionee

    Mkuu vyuoni huku shida tupu, karibu Kila chuo hivi vitu vipo Mimi mwenyewe kipindi nasoma diploma Yapo hayo, mpk vyuo vikuu kaka. Nimetoa huu Uzi nimeeleza experience niliyoona ona, japo nimevaa uhusika kama mwalimu Tangu nipo diploma , mpk sasa nipo university. GPA zinanunulika hata kwa fedha...
  8. M

    JamiiForums Tanzania Umeichakata mbususu asubuhi hii?

    Wewe umeamka na hii
  9. M

    JamiiForums Tanzania Kuwa na mahusiano na mabinti wa vyuoni na walimu wao, njoo ujionee

    Nimetoa hii kutokana na experience yangu niliyopitia but mpk sasa nipo university namalizia bachelor yangu, kabla ya hapo nilipita diploma.
  10. M

    JamiiForums Tanzania Kuwa na mahusiano na mabinti wa vyuoni na walimu wao, njoo ujionee

    Asante kwa michango Yenu, Haya mambo Yapo sana. Walioputia vyuoni wanaelewa.
  11. M

    JamiiForums Tanzania Kuwa na mahusiano na mabinti wa vyuoni na walimu wao, njoo ujionee

    Hivi vitu vipo sana vyuoni huko.
  12. M

    JamiiForums Tanzania Kuwa na mahusiano na mabinti wa vyuoni na walimu wao, njoo ujionee

    Mkuu unashamgaa hayo. Vyuoni huku hatari, mpk GPA watu wanunua tu.
  13. M

    JamiiForums Tanzania Kuwa na mahusiano na mabinti wa vyuoni na walimu wao, njoo ujionee

    😂😂😂😂😂 Jamii forum bhana
  14. M

    JamiiForums Tanzania Kuwa na mahusiano na mabinti wa vyuoni na walimu wao, njoo ujionee

    Habari, mimi ni member ya JF , nimerudi Tena baada ya muda mrefu. Mimi ni mtaalamu wa afya pia nafundisha chuo mpk sasa. Sasa miaka kadhaa nyuma nilikuwa ni mwalimu katika chuo kimoja Cha afya, nilifundisha pale kwa miaka kadhaa, kabla sijahamu na kwenda chuo kingine. Sasa niseme kwa ufupi...
  15. M

    JamiiForums Tanzania Ukijenga nyumba ya zaidi ya million mia 200 fanya haya.

    Mtu ukiwa unauwezo wa kujenga nyumba ya zaidi ya million 200. Basi jitahidi kuwawapa kazi kampuni mzuri ya ujenzi. Pia Kuleta interior and external designer ili nyumba iwe na mvuto. Sio nyumba inakuwa ya gharama afu Iko ovyo. Haipendezi.
Back
Top Bottom