Recent content by markbusega

  1. M

    JamiiForums Tanzania Chanjo ya ugonjwa huu wa vifaranga ni ipi?

    wape chanjo gumboro vifaranga wanapotimiza siku 3
  2. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wanawake weusi wazuri jamani dah 😋

    nilidhani ni mimi tu ila ukweli ni kwamba navutiwa na mwanamke mweusi mwembamba mwenye nyamanyama na mwenye makalio yaliyotokeza huwa sichoki kumwangalia
  3. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nahisi mume wangu kanichoka kabisa

    wewe unamdanganya kabisa ushauri wa hovyo huu ulioutoa japo ni haki yako kutoa naomi
  4. M

    JamiiForums Tanzania Kufanya kazi katika vyombo vya ulinzi na usalama inahitaji uzalendo hasa

    nawachuki jeshi la polisi case yako ni deal kwao, kesi yoyote kabla ya kufika mahakamani ni deal kwao ni kitega uchumi kwao, rushwa rushwa rushwa siwapendi police sina imani na jeshi la polisi ile kazi ni laana sitapenda ndugu yangu ajiunge
  5. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Hadi wanawake wenzake nao wamemdharau? Imenikwaza sana

    nimecheka sana kwa sauti na niko peke yangu. Mkuu kama uwezo mnunulie nyingine my wife wako kwa nini ajihisi kinyonge Sent from my SM-G532F using JamiiForums mobile app
  6. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nimeishiwa nguvu na nimekuwa Mtu mwenye kukata tamaa kwa Mkasa ulionikuta

    pole mkuu kwa ajali, kama nimekuelewa vizuri ni kwamba umeshapeleka barua ya uchumba na ukakubaliwa hatua inayofuata ni wazee kwenda kujadiliana taratibu za mahari n.a. mambo mengine, nikwambie mahari sio lazima ilipwe siku hiyo wazee baada ya kukubaliana wataomba muda wa lini watapeleka kwa...
  7. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Aliyenishauri na kuning'ang'aniza kila siku nioe, kamfumania mkewe

    a
  8. M

    JamiiForums Tanzania Vijana acheni wizi, humkomoi boss, unajikomoa mwenyewe

    nimewahi kukataa kununua nondo za kujengea nilizouziwa na fundi kwa nusu bei wakati najenga sababu nilihisi kuna mtu kaibiwa
  9. M

    JamiiForums Tanzania Ushauri wa kanuni bora za kilimo cha Migomba na Soko lake

    nini inaweza kuwa suluhu
  10. M

    JamiiForums Tanzania Ushauri wa kanuni bora za kilimo cha Migomba na Soko lake

    natumia jf app picha hazifunguki
  11. M

    JamiiForums Tanzania INAUZWA Mashine za vifaranga

    taarifa hazijitoshelezi mfano capacity na bei hakuna Sent from my SM-G532F using JamiiForums mobile app
  12. M

    JamiiForums Tanzania Water pump ipi inafaa kwa kumwagiliaji?

    asante mkuu
  13. M

    JamiiForums Tanzania Nikitumia Jogoo la kuroiler kupandisha kwa tetea wa kienyeji mayai yatatamiwa na kutotolewa?

    kuku watakaotokea hawawezi kuatamia
  14. M

    JamiiForums Tanzania Water pump ipi inafaa kwa kumwagiliaji?

    mawazo yenu tafadhali wakuu, karibuni
  15. M

    JamiiForums Tanzania Water pump ipi inafaa kwa kumwagiliaji?

    Nina mpango wa kuanza kilimo cha mboga eneo ninalotegemea kuvuta maji ni mita 200 je nichukue pump ipi? vigezo ninavyovitaka 1. Uwezo wa kumudu kuvuta na kusukuma maji umbali wa mita 200 2. Ulaji mzuri wa mafuta 3. Upatikanaji rahisi wa vipuri 4. Uwezo wa mafundi kumudu kuitengeneza...
Back
Top Bottom