Wiki iliyopita tulianza makala haya kwa kuangalia jinsi kitunguu kinavyoweza kutibu ugonjwa wa kutokwa damu wakati wa kutoa haja kubwa. Katika makala hayo, watu wengi wameonekana kuguswa nayo. Wiki hii, pamoja na mambo mengine, nitakujuza jinsi ya kuitengeneza juisi hiyo.
sisemi hujafany avyem akumuacha wema..la hasha!!kitendo cha kumvika pete ndani ya mwezi huo huo n akuamua kumtosa huyo binti umeprove failure,............umeonyesha jinsi gani huna msimamo kama mwanaume...hata huyo mama yako vile vile si mshauri mzuri hasa kwenye masuala hayo au hakushauri...
Pia CUF imesema Bw. Lowassa hana sababu ya kulaumu umaskini wa Watanzania bali ashauriane na Chama Cha Mapinduzi (CCM) na wenzake namna gani waache maslahi binafsi na kutetea Mtanzania mnyonge anayeteseka kwa matendo yao.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.