Recent content by Mark Francis

  1. Mark Francis

    CHADEMA kazini, maandalizi ya kushika dola; Prof. Safari hapa, Mnyika kule, Mwalimu Salum huko

    Utingo, acha uongo.... Mimi pia ninaishi Kimara, huwa unaona mikutano ya barabarani kwa sababu ndio maeneo unayopita. Kiuhalisia Mnyika ni mbunge anaejitahidi sana kutembelea wapigakura wake, na huwa anajitahidi kutembelea na kushugulikia kero za maeneo yote sio yale yaliyo karibu na Morogoro...
  2. Mark Francis

    Kwao, siasa ni chuki, visasi, fitna, uzandiki na uadui dhidi ya wengine

    Inawezekana hukuyaelewa hayo maandiko, umeyabeba kama yalivyo. Kumbuka wakati wa ,walimu, hakuna aliekua na sauti kumzidi yeye. Pia pitia vizuri maandiko kuona kilitokea nini kwa wale waliopishana kauli na mwalimu. Hakufanya vile kwa ubaya ila alitambua kuwa kila mtu akiongea lake mwisho lengo...
  3. Mark Francis

    Masikini Mchungaji Peter Msigwa, ACT-Wazalendo wamkalia kooni

    Picha ni ya kipind cha kampeni za Udiwan Nduli Iringa Vijijini ambako CCM walishinda.
  4. Mark Francis

    Albert Msando afunguka kuhusu Zitto Kabwe

    Ni zaidi ya miaka miwili na zaidi sasa tokea CHADEMA iwe mbali na ZZK, kama hakukumbukwa kipindi chote hicho si rahisi kukumbukwa sasa wala badae. Hata angeendelea kuwepo ndani ya chama, mchango wake ulishapotea muda mrefu sana. Hili suala limefikia lilipofika kwa sababu ZZK mwenyewe kaamua...
  5. Mark Francis

    Ratiba ya Mkutano wa ACT-Tanzania na matukio mengine ya chama

    Na baada ya uzinduzi kutakuwa na kazi za uenezi wa chama nchi nzima ila tutaanzia na Mikoa ya Arusha ,Mbeya,Kigoma na Mwanza... Can it be interpreted as a war against CHADEMA?
  6. Mark Francis

    Nyumba inapangishwa Kimara Mwisho

    Sipo home sahizi mkubwa, ntajitahidi nizipige jioni nikirud afu nishtue nikutumie.
  7. Mark Francis

    Nyumba inapangishwa Kimara Mwisho

    Haahaha sawa bana..... Sifa nzuri pia!!
  8. Mark Francis

    Nyumba inapangishwa Kimara Mwisho

    Ngoja nimalize ubishi, bei ni laki 2 kwa mwezi na inatakiwa miezi 6.... Hakuna gharama za dalali.
  9. Mark Francis

    Nyumba inapangishwa Kimara Mwisho

    Huyo jamaa haijui nyumba na bei sio hiyo.
  10. Mark Francis

    Nyumba inapangishwa Kimara Mwisho

    Acha uongo..... hiyo bei sio sahihi.
  11. Mark Francis

    Nyumba inapangishwa Kimara Mwisho

    Huwez jua aisee.... Km unabisha nambie upo wapi nije kukuchukua kwa gharama zangu uione ili utoe ushuhuda kwa wenzio.
  12. Mark Francis

    Nyumba inapangishwa Kimara Mwisho

    Ndio.... Bado haijapata.
  13. Mark Francis

    Nyumba inapangishwa Kimara Mwisho

    Wenye shida ya nyumba washapiga simu na wamejua bei na info nyingine kuhusu hiyo nyumba.... Karibu kwa info zaidi.
  14. Mark Francis

    Nyumba inapangishwa Kimara Mwisho

    Sasa kuna nyumba ambayo wapangaji wanapewa maji na baba au mama mwenye nyumba?! Maji hapa yapo siku zote ila kuna vipindi huwa yanazingua mji mzima hasa mitambo ikiwa imeharibika
  15. Mark Francis

    Natafuta nyumba ya kupanga Dar Kimara au Tabata

    Kwa sifa za nyumba unayoitaka huwez kupata kwa bei hiyo.... Kuna nyumba ipo kimara ya laki 2... Vyumba viwili, toilet ndani, sebule na kijiko cha kishkaji.
Back
Top Bottom