Kama uliondoka miaka ya 90 nyumba zilikua 170k unataka ukija ukute 170 tena kakae huko kinyerez na hapo sio barabarani
Nahitaji nyumba ya kupanga maeneo tajwa hapo juu. Iwe na vyumba 2 au 3 vya kulala, master na public toilet. Jiko stoo seble, na paking, iwe na maji. Offer ni laki 1.70 nahamia dar kikaz sasa hv niko mbeya. No 0754078015
wewe ni boya tu. na wala hujui lolote kuhusu dar mshamba wewe. wewe ni pimbi tu unajifanya unajua kumbe hujui chochote. wewe ni ng'ombe tu dar hata kama umezaliwa dar. wewe ni panya.buku tu fokofoko wewe.
Nahitaji nyumba ya kupanga maeneo tajwa hapo juu. Iwe na vyumba 2 au 3 vya kulala, master na public toilet. Jiko stoo seble, na paking, iwe na maji. Offer ni laki 1.70 nahamia dar kikaz sasa hv niko mbeya. No 0754078015
Kka hyo nyumba ilishapangishwa?Kwa sifa za nyumba unayoitaka huwez kupata kwa bei hiyo.... Kuna nyumba ipo kimara ya laki 2... Vyumba viwili, toilet ndani, sebule na kijiko cha kishkaji.
Maji yapo? Maana kimara kama unaish mlima kitongaKwa sifa za nyumba unayoitaka huwez kupata kwa bei hiyo.... Kuna nyumba ipo kimara ya laki 2... Vyumba viwili, toilet ndani, sebule na kijiko cha kishkaji.