Mark Francis
JF-Expert Member
- Nov 19, 2010
- 605
- 310
- Thread starter
- #41
ha ha ha haaa hapa kwenye maji umenifurahisha sana,eti "maji yapo yakutosha labda kuwe na shida ya mitambo ya dawasco" sasa hiyo mitambo mpaka itengenezwe si atasubili mpaka atapata wajukuu.
Sasa kuna nyumba ambayo wapangaji wanapewa maji na baba au mama mwenye nyumba?! Maji hapa yapo siku zote ila kuna vipindi huwa yanazingua mji mzima hasa mitambo ikiwa imeharibika