wewe utakuwa mvivu wa kufikiri,hivi watanzania nani katulogaa? sasa kwa hayo yaliyotokea wewe kwa uelewa wako mdogo unaona nchi ni salama au siyo salama?stupidy kabisa
punguza ujinga,Lissu siyo mwehu aseme kuna watu wanamfuatilia wkt siyo kweli,sasa aliyoyasema si unaona jana yametokea?sasa kusoma hujui hata picha nayo inakushinda?Atafute kiki kwa nani wakati kiki anayo ya kutosha,Kweli watz ni wavivu wa kufikiri
wanaume na nyie siku hizi mmesahau wajibu wenu kwa wanawake,siku hizi nyie ndiyo mwataka kulelewa,ndiyo maana tunawaogopa mmezidi kwa mizinga,kuliko ukae li mwanaume ambalo limebweteka lina subiri mwanamke akahustle si bora kuishi maisha ya peke yako kuliko kukutana na hizo stress,ada za watoto...
wewe hebu wacha kuongea upupu!hapa uchama unatoka wapi?watu wengine mna mahaba ya kipumbavu kabisa,mtu akisema ukweli hamtaki kisa mpinzani unasaport kila kitu hata ccm wakikuambia kula mavi utakula,Yaani watanzania hatujielewi kabisa,siku ikatokea ndugu yako wa karibu au wewe mwenyewe...
wewe hebu wacha kuongea upupu!hapa uchama unatoka wapi?watu wengine mna mahaba ya kipumbavu kabisa,mtu akisema ukweli hamtaki kisa mpinzani unasaport kila kitu hata ccm wakikuambia kula mavi utakula,Yaani watanzania hatujielewi kabisa,siku ikatokea ndugu yako wa karibu au wewe mwenyewe...
Mwigulu wewe ni kijana na sisi watanzania tunawategemea sana viongozi vijana wa hili taifa kusimamia haki za watanzania msiyumbishwe na Kiongozi ambaye anataka kutuletea uongozi wa mabavu,shikamaneni kuuvunja huu udictator unaotaka kupandikizwa nchini mwetu na kikundi cha watu wachache,leo...
Kwa kweli hata mm nakuunga mkono asilimia mia mheshimiwa kitendo alichofanya yule polisi uchwara kimelidhalilisha sana jeshi la polisi ,hivi ingefyatuka bahati mbaya ingekuwaje?Huo ni ulimbukeni uliopitiliza
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.