Recent content by Marisa Marissa

  1. Marisa Marissa

    JamiiForums Tanzania NECTA Yatangaza matokeo ya darasa la Saba. Shule 38 zafutiwa matokeo kwa udanganyifu

    Dr Msonde “This group will not get another chance of re-sitting the exam and it should serve as a lesson for others who plan to do the same… We will not allow them to use those methods to get results,” he insisted. Kwa maana hatima ya hawa watoto ni kutokufanya mtihani kamwe tena au ??
  2. Marisa Marissa

    JamiiForums Tanzania Gobless Lema umetukosea sana, lakini tutakusamehe

    Kwa hali ya Kawaida Mkuu Threat inapotokea (kama kweli sio mchezo wa kuigiza) mtu hukimbia yeye na ataongozana na weakness zake (blood family) zote ili zisije mrudisha nyuma. 😅😅😅😅😅
  3. Marisa Marissa

    JamiiForums Tanzania Samsung Note 9 Duos 128Gb

    Brand New Note 9 Full Box Duos sim cards 128G8 Copper Gold colour Price 1,750,000/= fixed Call or txt 0686553689
  4. Marisa Marissa

    JamiiForums Tanzania Maswali na majibu kuhusu Alliance In Motion Global

    Hahahahaha wadau izo zote ni type za Network Marketing Industry. Unafanya if unapenda coz ni moja ya fast growing kwa sasa ikiwemo na cryptocurrency
  5. Marisa Marissa

    JamiiForums Tanzania Maswali na majibu kuhusu Alliance In Motion Global

    Waweza mshangaa mtu anapofanya jambo ambalo yeye amaona manufaa na wwe huoni. So its human nature
  6. Marisa Marissa

    JamiiForums Tanzania Maswali na majibu kuhusu Alliance In Motion Global

    Hapana sio utumwa. Kwasababu kila anayefata system mbona anamafanikio. Na mbona dawa zetu ni kweli zinaponya
  7. Marisa Marissa

    JamiiForums Tanzania Maswali na majibu kuhusu Alliance In Motion Global

    Forever Living Lazima uuze na lazima u maintain targets ili upate compensation.. But Alliance haina target
  8. Marisa Marissa

    JamiiForums Tanzania Maswali na majibu kuhusu Alliance In Motion Global

    Kama una package leta mimi nizinunue kwa price ya member i show you they are marketable
  9. Marisa Marissa

    JamiiForums Tanzania Maswali na majibu kuhusu Alliance In Motion Global

    Kila mtu anajinsi ya kutengeneza soko.. wengine hupiga picha wengine hawapigi. But trust me the products works for real and i distribute them in the best price
  10. Marisa Marissa

    JamiiForums Tanzania Maswali na majibu kuhusu Alliance In Motion Global

    Unapojiunga unapewa package ya products ambazo kama wew nia yako sio kuingiza watu basi unaweza fanya marketing ya products tu mkuu na ukatengeneza pesa bado kuliko hata anayetegemea watu kujoin
  11. Marisa Marissa

    JamiiForums Tanzania Maswali na majibu kuhusu Alliance In Motion Global

    Nimekuelewa Boss, lakin si kweli kua hakuna bidhaa za rejareja ukitaka mim naweza kukupatia ujaribu Pia Marekani hawajakataza busness za MLM kwasababu hata Donald trump ameanzisha MLM yake inaitwa Trump. Pia maswali mengi huwa wanajibu ma expert Kama una shida ya afya naweza kukupa dawa
  12. Marisa Marissa

    JamiiForums Tanzania Maswali na majibu kuhusu Alliance In Motion Global

    Forever living ni tofauti kabisa na Aim Global
  13. Marisa Marissa

    JamiiForums Tanzania Maswali na majibu kuhusu Alliance In Motion Global

    HAhahahahaha Daaaah umevamia mada asee. Alliance hakuna sabuni, mafuta wala dawa za meno. This is healthy and Wealthy company
  14. Marisa Marissa

    JamiiForums Tanzania Maswali na majibu kuhusu Alliance In Motion Global

    Yani mpaka nimesikitika kwa izo fikra zako ndugu cha kwanza sikulaumu kwasababu vijana wengi tuna fikra ya kushindwa,na kutokuwezekana ndo maana ukiona aliyefanikiwa utaanza kumkosoa kwa kila namna badala ya kuuliza nini alifanya.
  15. Marisa Marissa

    JamiiForums Tanzania Maswali na majibu kuhusu Alliance In Motion Global

    Acha kukremu ndugu unahisi ningekujibu kitu hapa kama ningekuwa kama hivyo unavyowaza
Back
Top Bottom