Jamani huu uzi wa Insider naombeni tusiuchanganye na nyuzi zingine Insider siku akirejea atupatie muendelezo wa story yake ya maisha.Au wadau mnasemaje?
Nasikia tajiri wa Singida Big Stars ametoa motisha ya shs milion hamsini ikiifunga Sinba sasa hiyo pesa amlipe Simba maana timu yake itafungwa goli mbili bila.
Wewe mdada unajitambua kweli wewe hebu piga picha rudisha miaka kumi nyuma maisha yako yalivyokuwa linganisha na sasa.Unataka raha ya dakika 3 ili ukoswe zari la mental! Ujue jamaa jinsi alivyokwisha wekeza kwako ukimuacha hutabaki salama unakula chuma.
Pole mama firstborn hebu tuletee mrejesho wa kile kilichoendelea kati ya kijana wako na mme wako maana ni muda sasa tangu utuletee thread yako je hatimaye mliweza kusuluhishana na kuamua kuyajenga? Kama ni ndiyo ni ipi reaction ya mmeo baada ya kujua kile kilichotokea?
Pole mkuu kwa maelezo haya hata hivyo inaonyesha mkeo hajatulia,kitendo cha kuwakubalia watu wengi kiasi hicho mpaka na wewe kwenye ID mpya umeshapewa number hapo hesabu maumivu.My take kwa uzi huu kwa vile yumo jamvini ni wazi akiusoma chale zitamcheza na kujijua ni yeye anayesemwa.Labda...
Duh naona Insider ameshajua kuwasiliana kwa kihabesh kweli Iryne ameshafanya kazi yake ya kumfundisha kuandika kihabesh.Kilichobakia ni kuhalalisha kumuweka ndani huyo malikia.
Asante sana bro Insider hakika umetuheshimisha sana kwa jinsi ulivyotiririka kwa mambo mengi mengi yalivyoendelea.Kuna mambo mengi ya kujifunza kutokana na matukio mengi uliyokutana nayo.Tunasubiri kwa hamu season III.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.