hp ni loptop nzuri hila hizi nyingi mchina anatengeneza underlessen so kama unataka hp kama yuko marekani utapata original hp hila kama hayuko huko basi utapata za mchina hila inategemea hiyo product inakwenda kuzuwa wapi afrika asia uarabuni au wapi ss ukipata hp ya urabuni ni bomba.sana.au...
muogope mungu iddi azan tena ndani ya mwezi wa ramadhani ww iddi ni muza madawa ya kulevya utajiri uliokuwa nao umeupata vipi wakati shule yako form four na pia kwann wasiwataje watu wengine wakutaje ww unauza madawa ukikata hapa dunia ipo siku utakuja kukubali mbinguni ipo siku na unafiki wako...
Kaka, nakuunga mkono.
Na mm niweke historia yng miaka kumi iliyopita nikiwa askari polisi mwenye cheo cha constable kwa maana ya pc.
Baada ya kumaliza Advance Diploma in Marine Engineering and Technology mwaka 2009, niliamua kuachana na hiyo kazi ya upolisi kwann nilikuja kugundua kuwa huku...
kama kuna vitu unaviongea mbele ya jamii ukimanisha ni kweli yaan unajiandalia maisha mgumu sana ya baadae mbele ya mungu yaan katika vitu ambayo mungu huwa anavichukia ni kusema uongo mbele ya jamii sio kweli kabisa hicho kikundi cha ccm kina fanya mambo hayo uliyoutuambia sio kweli hata kidogo...
kaka ule ni mtego kwa ss ambao tumepitia hizi kazi za kipelezi na tukaona hazina maana nikamua kuchana nazo nafanya shughuli zangu binifasi jamaa anatumiwi na serikali kupitia polisi na usalama wa taifa kuna sababu mbili amabzo hawezi kutolewa mahabusu moja usalama wake mwenyewe amaboa ni muhimu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.