Habari ndugu zangu, natumai sote tunaendelea kusherehekea vyema sikukuu. Nahitaji shamba la kukodi Mikese: naomba muongozo kwa wazoefu au kama wako humu wanaoishi maeneo hayo. Asante.
Wewe nawe ina maana hata wakina Chief Mkwawa huwajui, wakina Mangi Meri je? basi hata vita ya maji maji nayo utakuwa huijui. Religion was the force behind colonialism na biblia ilichochea mauaji ya mabibi na mababu zetu. Leo tuko huru sababu kuna watu walitoa uhai wao! I will honor those rather...
Kukubali kwamba Mungu yupo haimaanishi kwamba anaamini maandiko yanayomuhusu. Maandiko ni ya binadamu na ndiyo anayoyahoji. Of course uwepo wetu ni kwamba kuna source, kitendawili kilichopo ni kwamba kuna uwalakini kwa kuonekana kwake. Personally sijamuona huyo source, kwa hiyo ni upuuzi...
Kama ndivyo kwamba Mungu hawazi kama sisi, basi yote tunayoamini hata yaliyoandikwa kwenye so called "vitabu takatifu" bado ni upuuzi cause nayo pia yaliandikwa na binadamu kama sisi. Na the fact kwamba hakuna aliyemuona Mungu na kupiga naye stori mahali, hata wanaosema wamemuona hatuna uhakika...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.