Ila Maisha kitu cha ajabu sana, Kijana kutoka Tandale ameweza kuwaajiri na kuwalipa vijana ambao wengine inawezekana wamezliwa na kukulia Masaki na Oysterbay na kusoma best schools in town. Maisha ya Kijana wa TANDALE ni somo TOSHA kwa wale VJANA LOCAL wapambanaji na watafutaji wa maisha, hakuna...