Recent content by mariboto

  1. M

    JamiiForums Tanzania Dr Slaa kulakiwa Kigoma kwa Maandamano.

    mbona hata hueleweki ulichokiandika?
  2. M

    JamiiForums Tanzania Nchimbi: Email iliyosambazwa mitandaoni ni ya Uongo, Nimeshaanza kuchukua hatua za Kisheria

    hivi kwanini watanzania 2napenda uongo mimi nim!eingia kwenye account yake fb hakuna kitu kama hicho,umejitungia maneno na kuja kupost jf iliufaidike na nini hasa?
  3. M

    JamiiForums Tanzania CHADEMA mmenasa kwenye mtego wa kusambaratishwa

    hivi hata kazi haufanyi mda wote unashinda jf au ndo ajira yako ya buku 7.
  4. M

    JamiiForums Tanzania CHADEMA mmekuwaje tena???

    big up,ushauri mzuri sana.
  5. M

    JamiiForums Tanzania Mwanza: Mganga akutwa na kiganja cha mtu akimuuzia tajiri kwa sh milioni 100

    kwahiyo wewe gari inathamani kuliko mwili wako?
  6. M

    JamiiForums Tanzania Lipi gazeti la udaku kati ya uhuru na tanzania daima?

    leo ktk vichwa vya habari karibu magazeti yote yameandika KIKWETE AIKATIA TAMAA CCM, cha ajabu uhuru limekuja kichwa habari KIKWETE AWATANGAZIA VITA WATENDAJI CCM. hum jf kupost nyingi zingine zina sema Tanzania daima la udaku, zingine zinasema uhuru la udaku. kwa mtizamo wako lipi gazeti la...
  7. M

    JamiiForums Tanzania Katiba Mpya: Kakobe aungana na Wapinzani Jangwani

    Hajachanganya ndo maana alitoa ufafanuzi alivyopanda jukwani.
  8. M

    JamiiForums Tanzania Kufuatia kumtumia mchina kwenye mikutano yake: Msajili wa vyama vya siasa aionya CCM

    Anasubiri upepo kwanza, hivi kama serikali isingetoa onyo angethubutu kuinyoshea kidole!
  9. M

    JamiiForums Tanzania Lazima rais Jakaya Kikwete asaini mswada ili jipu lipasuke

    upo sahihi.
  10. M

    JamiiForums Tanzania Mtanzania: Serikali yanuka damu

    mbona unatoka nje ya mada?
  11. M

    JamiiForums Tanzania CHADEMA yatoa Tamko kulaani matendo ya Balozi wa China

    hivi chadema,cuf,nccr na vyama vingine vyote vyenye usajiri wa kudum vikiwa vinafanya mikutano na mabalozi si itakuwa hatari? Nape ningeelewa kama mikutano hiyo ingekuwa ya kiserikali nasi ya ccm.
Back
Top Bottom