findu fiki
JF-Expert Member
- Mar 31, 2011
- 431
- 67
ungejua maana ya ifweero usingemshangaa.Jina lake na matendo yake sawa sawa.Mkuu nasoma sana uchangiaji wako humu JF,huwa unanishangaza sana.....
ungejua maana ya ifweero usingemshangaa.Jina lake na matendo yake sawa sawa.Mkuu nasoma sana uchangiaji wako humu JF,huwa unanishangaza sana.....
matumizi mabaya ya kalam ya uandishi na rasilimali, vyombo vya habari badala ya kuandika habari za kuelimisha, kuchochea maendeleo vinaandika chuki na hasama. jinga sana
huwa ni kawaida mwizi kumsifia mwizi mwenzake hata wahuni kama chadema husifiwa na wahuni wenzao.
Sikushangai kwa haya maneno yako na hili gazeti lako kwa kuwa upe wenu unafanana hakuna jpya katika hili.
Hutafanikiwa kamwe slaa mwenyewe alijaribu kashindwa sasa wadogozake kama nyie ndiyo mnahangaika.
nachukia udhalimu, nachukia uchochezi nachukia chuki na hasama. kweli kabisa. mtz sio gazeti la kusoma
Gazeti la leo la Mtanzania(Mtanzania Jumatano) limebeba habari kubwa chini ya kichwa cha habari "Serikali yanuka damu".Habari hiyo katika gazeti hilo limeelezea mlolongo wa matukio ya kigaidi wanaofanyiwa raia kama kutobolewa baadhi ya viungo vya mwili,mauaji katika mikusanyiko ya kisiasa na matukio ya watu kumwagiwa tindikali huku likilaumu serikali kwa kushindwa kuwakamata na kuwachukulia hatua wahusika wa vitendo hivyo.
Mbali na kuelezea matukio hayo,gazeti hilo pia limechapisha picha za waathirika wa vitendo hivyo vya kigaidi.Picha hizo katika ukurasa wa mbele ni zile za akina Dr.Ulimboka,Absalom Kibanda na picha kadha za watu waliomwagiwa tindikali.
Katika habari hiyo, gazeti linadai kuchapisha maelezo ya watu mbalimbali ambao wametafsiri vitendo hivyo kuwa ni sawa na kusema serikali nanuka damu kwani vyombo vya dola ndio vinavyolaumiwa kutenda unyama huo na kuishangaa serikali kwa kutokuchukua hatua dhidi ya wahusika.
MY TAKE:
GAZETI LIKO SAHIHI KABISA KUCHAPISHA HABARI HIYO NA KUCHAMBUA MATUKIO HAYO.LAKINI SITASHSNGAA KUSIKIA GAZETI HILO LIKIPATA VITISHO KUTOKA SERIKALINI NA PENGINE HATA KUTUHUMIWA KWA UCHOCHEZI.
HII NDIO KAZI NZURI YA VYOMBO VYA HABARI.
BIG UP MTANZANIA JUMATANO KWANI UJUMBE UMEFIKA!
mbona unatoka nje ya mada?Hivi wizi kama huu tunaruhusiwa kuwapeleka polisi?mie juzi nimeongeza salio kupitia nmb mobile halafu kwa mshangao walinikata kama 660 nikawapigia wananiambia eti nilikopa,kitu ambacho si kweli!Wanaudhi sana na wizi huu sijui hali hii itadhibitiwa vipi!
Sent from my BlackBerry 9220 using JamiiForums
Swali ni je, serikali itaendelea kunuka damu mpaka lini?
na nini kifanyike kuisafisha serikali?
matumizi mabaya ya kalam ya uandishi na rasilimali, vyombo vya habari badala ya kuandika habari za kuelimisha, kuchochea maendeleo vinaandika chuki na hasama. Jinga sana
Mkuu nasoma sana uchangiaji wako humu JF,huwa unanishangaza sana.....
Jibu:Kajiandikishe kwenye datfari la kupiga kura kama hujajiandikisha na ikifka 2015 ukiwa hai kapige kura na muhimu zaidi usisahau kulinda kura yako.
Udaku hakuna habari ya ukweli hapa
Inaelekea hujui tofauti ya udaku, uchochezi na ukweli. Gazeti limeandika matukio ambayo yametokea na ushahidi wa picha za waathirika zipo na baadhi ya waathirika wapo na makaburi ya waliouawa yapo utaitaje ni udaku?! Hivi ukiambiwa Mwangosi kule Iringa aliuawa kwa bomu lililolipuliwa na askari na picha zikaoneshwa, kwamba kule Arusha polisi waliua watu watatu wakati wa maandamano ya CHADEMA, kule Songea polisi waliua watu, Morogoro, Mtwara na mabomu yaliyolipuliwa mara mbili Arusha utaitaje ni udaku?! Watu wameteswa na kuuawa itakuwaje ni udaku na uchochezi?Tatizo ni kuwa wewe unamuangalia mtoa hoja badala ya hoja! Matukio yote hayo yamethibitishwa na polisi na vyombo mbali mbali vya haki utasemaje ni udaku na uchochezi? Nipo tayari kukupa darasa ili ujue maana ya udaku na uchochezi na tofauti yake na habari za matukio ya kweli. Wakati mwingine ni vizuri ukanyamaza ili watu wadhani wewe ni mjinga kuliko useme halafu uthibitishe kuwa ni mjinga!mtanzania damu damu na tanzania daima. full udaku na uchochezi
Mkuu hayo magazeti bado yapo? Yanasomwa na akina nani?!udaku upo katika magazeti ya UHURU NA MZALENDO TU,ndo maana huku kwetu hayauziki na siku hizi hata vibanda vya magazeti hawayauzi baada ya kuwa yanadoda daily
Inaelekea hujui tofauti ya udaku, uchochezi na ukweli. Gazeti limeandika matukio ambayo yametokea na ushahidi wa picha za waathirika zipo na baadhi ya waathirika wapo na makaburi ya waliouawa yapo utaitaje ni udaku?! Hivi ukiambiwa Mwangosi kule Iringa aliuawa kwa bomu lililolipuliwa na askari na picha zikaoneshwa, kwamba kule Arusha polisi waliua watu watatu wakati wa maandamano ya CHADEMA, kule Songea polisi waliua watu, Morogoro, Mtwara na mabomu yaliyolipuliwa mara mbili Arusha utaitaje ni udaku?! Watu wameteswa na kuuawa itakuwaje ni udaku na uchochezi?Tatizo ni kuwa wewe unamuangalia mtoa hoja badala ya hoja! Matukio yote hayo yamethibitishwa na polisi na vyombo mbali mbali vya haki utasemaje ni udaku na uchochezi? Nipo tayari kukupa darasa ili ujue maana ya udaku na uchochezi na tofauti yake na habari za matukio ya kweli. Wakati mwingine ni vizuri ukanyamaza ili watu wadhani wewe ni mjinga kuliko useme halafu uthibitishe kuwa ni mjinga!
Do you know the power behind this newspaper?Gazeti la leo la Mtanzania(Mtanzania Jumatano) limebeba habari kubwa chini ya kichwa cha habari "Serikali yanuka damu".Habari hiyo katika gazeti hilo limeelezea mlolongo wa matukio ya kigaidi wanaofanyiwa raia kama kutobolewa baadhi ya viungo vya mwili,mauaji katika mikusanyiko ya kisiasa na matukio ya watu kumwagiwa tindikali huku likilaumu serikali kwa kushindwa kuwakamata na kuwachukulia hatua wahusika wa vitendo hivyo.
Mbali na kuelezea matukio hayo,gazeti hilo pia limechapisha picha za waathirika wa vitendo hivyo vya kigaidi.Picha hizo katika ukurasa wa mbele ni zile za akina Dr.Ulimboka,Absalom Kibanda na picha kadha za watu waliomwagiwa tindikali.
Katika habari hiyo, gazeti linadai kuchapisha maelezo ya watu mbalimbali ambao wametafsiri vitendo hivyo kuwa ni sawa na kusema serikali nanuka damu kwani vyombo vya dola ndio vinavyolaumiwa kutenda unyama huo na kuishangaa serikali kwa kutokuchukua hatua dhidi ya wahusika.
MY TAKE:
GAZETI LIKO SAHIHI KABISA KUCHAPISHA HABARI HIYO NA KUCHAMBUA MATUKIO HAYO.LAKINI SITASHSNGAA KUSIKIA GAZETI HILO LIKIPATA VITISHO KUTOKA SERIKALINI NA PENGINE HATA KUTUHUMIWA KWA UCHOCHEZI.
HII NDIO KAZI NZURI YA VYOMBO VYA HABARI.
BIG UP MTANZANIA JUMATANO KWANI UJUMBE UMEFIKA!
Hivi wizi kama huu tunaruhusiwa kuwapeleka polisi?mie juzi nimeongeza salio kupitia nmb mobile halafu kwa mshangao walinikata kama 660 nikawapigia wananiambia eti nilikopa,kitu ambacho si kweli!Wanaudhi sana na wizi huu sijui hali hii itadhibitiwa vipi!
Sent from my BlackBerry 9220 using JamiiForums
..........huyo jamaa ni kati ya Binadamu wachache sana hapa duniani wasiotumia vizuri ubongo wao. Akili zake hazina tofauti sana na Nape.Mkuu nasoma sana uchangiaji wako humu JF,huwa unanishangaza sana.....
matumizi mabaya ya kalam ya uandishi na rasilimali, vyombo vya habari badala ya kuandika habari za kuelimisha, kuchochea maendeleo vinaandika chuki na hasama. jinga sana