Recent content by mariam abdallah

  1. M

    Kuwait: Mwanaume aoa wanawake wanne kwa siku moja!

    Huyu dini yake ni ipi? Hata mwislamu huwezi kufunga ndoa kama hiyo haiswihi wasipotoshe uislamu. Hapo mke ni mmoja tu wengine wapambe na hakuna sheikh atafungisha ndoa kama hiyo. Uislamu inapinga udhalilishaji kama huo hapo atalala na yupi kwani ndoa haitimii mpaka consumation (kukutana...
  2. M

    Mshindi wa Juzuu 30 Qur'an

    Mashallah waislamu tuzidi kuwahamasisha vijana wetu kwa kuwapa moyo wao na waandalizi kwa jitihada kubwa mwanzo mpaka mashindano kumalizika. Hakuna kitabu kinachohifadhiwa isipokuwa Quraan, Mnyezi Mungu atupe imani kufanya mema.
  3. M

    Wahindi wanatuharibia nchi

    Asanteni mada ya wahindi sikuwa mwanachama lakini mada imenigusa nimejisajili na maoni yangu: Mimi nimechanganya mhindi, mbulu na mzigua. Nimelelewa na bibi mhindi. Jamani no nidhamu nidhamu nidhamu. Nilifundishwa na bibi kuwa mwanamke u we mbunifu mwanamke ujitume mwanamke lazima ufiche akiba...
Back
Top Bottom