Kuna misimu ambayo ni mizur na ina hela saana lkn gharama za uendeshaji wa shamba ni kubwa lkn pia na faida utakayopata ni kubwa pia msimu wa mvua yan kuanzia November mpka may huu msimu ni mgumu kwa vitunguu katika maeneo meng kwasbb ya mvua na barid gharama za uendeshaji kwa heka inaweza fika...
Wat u say s ver true mm nmemaliza chuo mwaka juz mwaka jana may nikabahatika kupata ajira mbeya serikalin lkn baada ya muda tulisimamishwa kupisha ukaguz wa wafanyakazi hewa na sasa ni mwaka unaenda hatujarudishwa kazin lkn kule mm nilikutana na fursa ya kilimo cha vitunguu huwez amin...
Habar wana JF mm ni kijana niliejikita kwenye kilimo cha vitunguu maji ndo mara yang ya kwanza kulima lkn nashukuru Mungu vimeenda vzur na vipo katika hatua ya mwsho je ntapata wap masoko mashamba yapo Mbeya-ilongo.asanteni
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.