Hii ndo plain truth mtabisha ila kama huna hofu ya Mungu,kanisani au maombi kwako wewe ni kama ndoto za mchana na mbaya hujitambui yani aseee utaliwa adi uzeeke na usijidanganye kwamba hata usipo olewa hakuna shida,thats a lie hii ni bongo utapata stress mno na ndugu majiran na jamii as life...
Nadhan itakua ni ile aman unayoapata moyon ukijua i have some one to count on..mtu ambae mnaeza pata watoto na mka watch over them grow wakiwa wanajitengenezea maisha yao..ts a good feeling kupata mfariji..trust me upweke so poa specially when upo late 50s au 60s ivi..afu imagine huna wa kua na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.