Hawa akina shonza nimewasikia wakitoa matus na tuhuma zisizo na kichwa wala miguu kwa viongoz wa chama cha chadema,niwape ushauri mdogo kuwa bado wao ni vijana wadogo,siasa wamejifunzia chadema,sasa wanapobwabwaja ivo leo,hawajui kesho yao itakuwaje?Wanafanya wazungu wanaita 'personal attack"...
Mi nshatangaza nia muhimu sana ni kupita kwenye kura za mchujo ndani ya chadema,nkipitishwa na chama bas kyerwa itakuwa na mbunge wa chadema maana mikakati ya ushindi nshaanza kuiweka,na naendelea.Nkipata ubunge bas kyerwa watakuwa wameramba dume.Hata ivo nisipopitishwa ndan ya chama,ntamuunga...
Nawashukuru sana makamanda kwa mkutano wenu mliofanya. lakin nawaomba viongozi wa chadema na wapenzi wote wa nchi hii mlioko ndani na nje ya nchi,kama kweli mantaka tufanikiwe katiaka harakati hizi za mabadiliko, ni lazima muanze mara moja mchakato wa kuwa na kituo cha redio na televion...
huyu jamaa ni mwanasheria wa serikali au wa ccm? nashindwa kutfautisha.siku moja alisema yeye ana utumishi uliotukuka, nkashangaa ni vipi mtu anawatukana watu eti awana akili,tena ambao boss wake anawatetemekea ,aje kuwa na utumishi uliotukuka.mwacheni naye tundu lisu alishasema kuna majaji...
Ndg wana JF,
Natumia nafasi hii kumuuliza mwenyekiti wa CHADEMA taifa Mh. Mbowe kuhusu uhai wa mabaraza haya mawili ya chama,lile la wazee na wanawake.
Siku nyingi kweli haya mabaraza sijayasikia katika medani ya siasa kama wenzao BAVICHA, sasa sijui kulikoni kamanda wetu mkuu Mbowe.
Kama...
ni great thinker kwa lipi ndg? mbona waislamu hamjadi kwenda kuchinja nguruwe yaan kitimoto na wakati chenyewe kinauzwa mitaani kwenye mabucha ya public? nadhani huyo uliye muita great thinker anaupeo mdog kama wewe. mona nyie sasa hamkatai kwenda kwenye nyumba za wakristo wanakosali sara...
mi sijui kikwetealitumia vigezo gani kumteua wasira kuwa waziri wa mahusiano na uratibu? lakini hata kama jk aliona kwa wakati ule anafaa (japo sio kweli), ameshamuona anavurunda kwanini asimuondoe? mtu anyejiapiza kukiua chama cha siasa ambacho kipo kisheria kwa kupandikiza migogoro, na kuapa...
pinda anajua fika kwamba makinda anapindisha taratibu na kanuni za bunge.kwanini asimshauri kwanza?kukaa na watu wasiohusika ni kuharibu muda tu.sion sababu maana pinda ndo mwenyeketi wa wabunge wa ccm, na wanapanga kwenye party caucus yao kukwamisha hoja za wapinzani,leo aje alete suluu!you're...
we tendwa tulisha kuzoea. unapoona CCM wanahusika katika kuvunja sheria taratibu na kanuni, unaiunganisha na chama kingine ili usonekane na waliokuteua kwamba unawaharibia. Lakin pia,badala ya kulaumu aliyechoma moto unaulumu moto uliowashwa!!! Acha kulalamikia matokeo, bali kilichosababisha. na...
kwa kuwatukana watu hata kama haukubalian nao ni udhibitisho tosha kuwa wewe ni mtu wa hatari sana.unamuita kiongozi au mtu yeyote eti 'kilaza',sidhani kama unastahili kusema hivyo dada yangu.kuwatuhumu viongozi eti wanafanya ufisadi ndani ya chama ukiwa unazungumza ndani ya chombo cha habari...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.