Recent content by Marcelo95

  1. M

    TANZIA Mohammed “Muddy Physics” wa Mchikichini afariki dunia

    Safi sana kiongoz, nilitamani niwepo asseh Ila naamin mmetuwakilisha vyema nacc wengne R.i.P Commissioner [emoji29]
  2. M

    TANZIA Mohammed “Muddy Physics” wa Mchikichini afariki dunia

    Commissioner alikuwa special for Junior & Amature, anakupa concept na anakufundsha nma ya kutactle problem, Mambo ya notes ndio maana Kuna vitabu Ving, UP, Nelkon, R.ManC, Chandy nk
  3. M

    Tuliosoma mchikichini tution tukutane hapa tukumbushie vituko tulivyokutana navyo

    Ameshaumaliza Mwendo Commissioner, Kamaliza kazi aliyotumwa #R.i.P
  4. M

    Tuliosoma mchikichini tution tukutane hapa tukumbushie vituko tulivyokutana navyo

    Anasema, Mwalimu ni mtu Yule aliyefeli mitihani yake ya mwisho
  5. M

    Tuliosoma mchikichini tution tukutane hapa tukumbushie vituko tulivyokutana navyo

    Fizo nilikuwa nacheka sana story zake nikiwa nakula pind kwa Pengo, pemben anapgisha geog, Anawaambia wanafunzi wake mlikuwa mnaona raha kuchezea ndevu za baba zenu wakutoka kazini, c mlitaka shule someni sasa
  6. M

    Tuliosoma mchikichini tution tukutane hapa tukumbushie vituko tulivyokutana navyo

    Alikuwa anapenda kuckiliza wanafunzi wake wanachokitaka
  7. M

    Tuliosoma mchikichini tution tukutane hapa tukumbushie vituko tulivyokutana navyo

    Anasemaaaaaaah....(Commissioner, Handsome Boy hapa, nimekaa karibu na mrembo hapa mlangoni, nimevaa shati jeusi na cap nyekundu, Yani pindi la leo naelewa mnooooooo
  8. M

    TANZIA Mohammed “Muddy Physics” wa Mchikichini afariki dunia

    Fatilia post & comment, kunasehem cjui wamepost Vikindu, cjui Mlandege cjaelewa yani
  9. M

    TANZIA Mohammed “Muddy Physics” wa Mchikichini afariki dunia

    Yap man, Umenikumbusha Shekidele, KingKong nikikutana nae Chuo Tanga Lile life acha tuu mkuu
  10. M

    TANZIA Mohammed “Muddy Physics” wa Mchikichini afariki dunia

    Mkuu kauli yako imenigusa Sana, jamaa nimekula pind lake Tangu form2/3 hadi advance, So sad [emoji29]
Back
Top Bottom