Recent content by Marazone_kid

  1. M

    JamiiForums Tanzania Nimepata offer ya ku volunteer huko Brazil kupitia kanisa letu

    Huko mademu wa moto sana
  2. M

    JamiiForums Tanzania Nina utaalamu wa madini ya Almasi, natafuta mbia mmoja wa kufanya nae biashara hii

    Aisee nahitaji pia kijana ambae ana uzoefu WA kutambua almasi ambazo hazijasafishwa ili tufanye biashara akiwa huko
  3. M

    JamiiForums Tanzania Nina utaalamu wa madini ya Almasi, natafuta mbia mmoja wa kufanya nae biashara hii

    Ndioo zinapatikana Ila n Kwa mbinde kama kawaida ya almasi
  4. M

    JamiiForums Tanzania Natafuta mtaalam wa kuchimba madini ya Almasi

    Jamaa unaweza tambua almasi hata Kwa picha?
  5. M

    JamiiForums Tanzania Nina utaalamu wa madini ya Almasi, natafuta mbia mmoja wa kufanya nae biashara hii

    Jamaa mbona haukuweka namba ako hapa nicheki basi tufanye biashara
  6. M

    JamiiForums Tanzania Natafuta mtaalam wa kuchimba madini ya Almasi

    Almasi haina mashimo marefu hasa Kwa wanaochimba locally usiogope😂
  7. M

    JamiiForums Tanzania Mke wangu anamtesa sana mtoto wa marehemu dada yangu

    ARUDI KWAO KWA MUDA
  8. M

    JamiiForums Tanzania Forex traders naombeni msaada tafadhari

    mkuu habari? naomba nkwambie hiyo unayofanya sio trading n gambling Mzee n kamari kwa sababu n speculation of foreign exchange market unakisia tu with no agreement or regulatory measures from risks. unaiita forex naamini hujui forex imeundwa na hedging, arbitration na speculation (forex yako...
  9. M

    JamiiForums Tanzania The truth for youths about Forex business

    Ngoja nikuweke sawa kaka hizo statistics ulisema hapo juu zinahusu international foreign exchange Market ambapo inajumlisha Hedging foreign exchange market, arbitration na Speculation. Tatzo watu wanaosema wengi kitaa wanatrade forex huwa wanafanya speculation ambayo hii n kamari Gambling na...
  10. M

    JamiiForums Tanzania The truth for youths about Forex business

    ide iseme
Back
Top Bottom