Recent content by marara

  1. M

    JamiiForums Tanzania Anaanza Mungu anafuata 'mzungu' then mimi, ni utumwa wa kifikra

    Kifupi jamaa anafanya vizuri., lakini kwa kusema ni mzungu afu yeye bado ajakombolewa kifikra.
  2. M

    JamiiForums Tanzania Zaidi ya sh. Bilion 1.5 zilitumika kufanya usafi peke yake ujio wa obama dsm

    Achilia mbali za mambo mengine Fedha izo zilitumika katika manispaa tatu za jiji, ilala wakitumia zaidi ya milion 350 kinondoni na temeke wakigawana kilichobaki, huku uchafu ukirejea masaa machache tu baada ya obama kuondoka., Swali ni je, kulikua na ulazima wa kufanya ivyo huku maelfu ya...
  3. M

    JamiiForums Tanzania Dr. Slaa hujamaliza likizo? Kinana anatukaririsha kondoo wako

    Mmmh.. Utakua umetumwa wewe
  4. M

    JamiiForums Tanzania Dr. Slaa hujamaliza likizo? Kinana anatukaririsha kondoo wako

    Ili kura yangu kwa chadema 2015 ipotee.. Hafi mtu apa. Zaid na zaid utabadilisha neno ccm na kutia CDM apo kwenye avart yako mwenyeweeee bila kushurutishwa.
  5. M

    JamiiForums Tanzania Dr. Slaa hujamaliza likizo? Kinana anatukaririsha kondoo wako

    Kweli ata mimi nmewamiss sana.,, cku izi ata taarifa ya habari siangalii coz ni magamba tu yanasikika., wachilia mbali habari za kawaida
  6. M

    JamiiForums Tanzania Mtazamo: Magdalena Sakaya ni mbunge anayestahili tuzo ya mbunge bora wa mwaka

    Mbatia anafanya vizuri siku izi
  7. M

    JamiiForums Tanzania Mikopo ya Benki ni yakuiogopa sana!Mama alala juu ya paa siku 5

    tena walivyoirusha hewani ndio watu wataanza kujenga negative attitude na TIB...wajipromote upya
  8. M

    JamiiForums Tanzania Mikopo ya Benki ni yakuiogopa sana!Mama alala juu ya paa siku 5

    yaani hi bank mbovu kweli maofisa mikopo wake sijui wamesomea wapi..wasome alama za nyakati competitors wengi sokoni..RIP TIB
  9. M

    JamiiForums Tanzania Mume wa Khadija Koppa ambaye ni diwani kata ya Magomeni - Bagamoyo amefariki dunia

    ni usiku wa kuamkia leo katika hospitali ya lugalo..RIP Jafary Ally
  10. M

    JamiiForums Tanzania Mtazamo: Magdalena Sakaya ni mbunge anayestahili tuzo ya mbunge bora wa mwaka

    kugawa namba ya spika ndo busara iyo...afu kauli ya zake za kutishia kiti kwamba kuna nguvu ya umma nje..
  11. M

    JamiiForums Tanzania Mtazamo: Magdalena Sakaya ni mbunge anayestahili tuzo ya mbunge bora wa mwaka

    Mh. Mbowe anafaa kupewa tuzo ya ubabe.. ni mbabe kuliko Robert Mugabe. ana kauli tata bungeni na spika awezi mtimua coz askari kanzu awaezi kumtoa. labda kikosi askari cha umoja wa mataifa kiitwe.
Back
Top Bottom