Recent content by MARAGARASI

  1. MARAGARASI

    Kwa mswati kutamuu

    Lakini msiwe na picha ya hivyo sana.Huyu ni kigori(u-ntombi),wakiwa wengi(a-mantombazane).Kucheza dansi hii ni lazima kigoli awe hajaharibikaa(bikra).Wapo mabibi maalum kwa ukaguzi,kwani hukagua hata watoto wa kiume bikira zao kupitia kurusha mkojo kwa kuchora mstari chini pamoja na majaribio...
  2. MARAGARASI

    Dawa ya Kupunguza Hasira

    hiyo dawa hata mimi naitaka.
  3. MARAGARASI

    Kwa nini formula hii ni ngumu kwa Afrika?

    Iran ilikuwa imeendelea toka enzi za PM Mussa Musadik,alitaifisha visima vya mafuta toka kwa WAINGEREZA mwaka 1951.Mwaka 1953 fitina Mwingereza aliipeleka kwa AMERIKA wakampindua na kumuweka SHAH MOHAMED REZA PAHLAVI.Wairani ni wasomi toka enzi za MESOPOTAMIA(miaka 2500 kabla ya kristo). Afrika...
  4. MARAGARASI

    Tukumbuke Zamani: Historia ya Taifa letu katika picha

    Zile zilikuwa enzi za kuitana NDUGU,sasa hivi kuna WAHESHIMIWA.
  5. MARAGARASI

    Godbless Lema: Kikwete usicheze na maisha ya watu kisiasa kukabiliana na milipuko

    Tatizo lenu wanasiasa wote mna agenda za kupotosha na kukamilisha mipango yenu.Sioni tofauti ya Kikwete na wewe,ni vile hujapata nafasi kama yake.Afrika ya wananchi bado haijawa.
  6. MARAGARASI

    Tukumbuke Zamani: Historia ya Taifa letu katika picha

    HADING'OKA alikuja piga kampeni yake shuleni kwetu mwananyamala B tukakatiza masomo baada ya "aff time" na kupigiwa debe na wazee wa mji kwani walimchoka "mzungu" BRISON.
  7. MARAGARASI

    Tukumbuke Zamani: Historia ya Taifa letu katika picha

    Enzi ya UDA ulikuwa hukai kituoni na mzembe anajulikana mapema.kweli ilikuwa TANZANIA ya babau wa Butiama.
Back
Top Bottom