Recent content by Maq Masimba

  1. M

    JamiiForums Tanzania GE2025 John Heche alalamikia polisi 'kujazana' Mahakamani kabla Kesi ya Lissu kuanza

    Nsamehee ndg. Harakati za matusi mm simo,ila jitahd sana usiwe una reply maandiko ya wadau uliowatambua kuwa wanao uchizi ili ikupunguzie umunkari uchwara ktk fahamu zako.
  2. M

    JamiiForums Tanzania GE2025 John Heche alalamikia polisi 'kujazana' Mahakamani kabla Kesi ya Lissu kuanza

    Daaaah,poleee ndugu yangu fanya akili iwe tulivu urejee vizuri andko langu,punguza mapapara tutaonekana ss wa mrengwa wa kihafedhina hatujijui n kp tunairaji ikiwa tunawakiana ss kwa ss , Note:nmetumia lugha sanifu na kejeli ktk andiko langu dhidi ya wazamiaji na wapenywezaji. NB: Tuliza...
  3. M

    JamiiForums Tanzania GE2025 John Heche alalamikia polisi 'kujazana' Mahakamani kabla Kesi ya Lissu kuanza

    Jamani ata maaskari nao pia ni watu kama sisi ,imagine lecture ya sheria anayoitoa TAL ndani ya mahakama kama one man army adi mapoti nao wanagombania foleni ya kumuwai teacher wa sheria na teacher wa roho ngumu roho chuma cha pua, almaarufu mzee wa kuwavuruga akili govt na wanasheria wake,ndio...
  4. M

    JamiiForums Tanzania Kama Ngosha angekuwepo, yule jamaa bonge Mzimbabwe angetia mguu wake kweli hapo Ikulu?

    Wadau naombeni kumbukumbu ya kipindi mama akiwa msaidizi wa mwendazake ivi alishawai kuwa na ziara ya kumuwakilisha mwendazake uko kwao?
  5. M

    JamiiForums Tanzania Hekaya za Polepole vyaanza kudoda

    Ndg. Umeshupaza shingo na fikra zako sana, lkn cha kufurahisha ktk umma huu ni kuwa haueleweki . Polee sana.
  6. M

    JamiiForums Tanzania Hekaya za Polepole vyaanza kudoda

    Kwanini Utumie nguvu kubwa kushupaza fikra zako kuhimiza umma huu eti usimsikilize HP na kumdhihaki juu kwa kumuita Msukule? Tuelimishe kwa kuchambua hoja zake moja baada ya nyingine kwa kuzikosoa na kuzizahihisha ndio tutazitambua fikra zako na uhalisia wako ktk U-Tanzania wa dhati kuliko ivi...
  7. M

    JamiiForums Tanzania BAWACHA yamtaka Polepole amtaje aliyempiga Lissu risasi

    Ilo ni swali la kujibiwa na Serikali iliyopo madarakani na sio HP ,alipaswa aihoji Serikali maana kiongozi mkuu ni yule yule aliekuwa ni makamu nyakati tukio linatokea na uyo uyo ndie aliye kuwa akimtembelea TAL ktk nyakati tofauti akiwa ni kiongozi wa juu wa Serikali. NB:HP ni adui alie amua...
  8. M

    JamiiForums Tanzania Maaskofu walikuwa wapi wakati J. K. Nyerere mara kadhaa baada ya kustaafu alikuwa akishauri serikali ya Mwinyi? Warioba (mstaafu)je?

    Mwl.Julius K Nyerere na Mzee Warioba wao mrengwa wao upo ktk kushauri yale yenye tija kwa taifa na kukosoa yale ambayo hayana tija na afya kwa taifa letu. Je,mstaafu JK ni chapisho lipi ambalo ameona mambo ktk taifa yanaenda ndivyo sivyo na akasimama mbele ya umma na kukemea kwa ukali ya...
Back
Top Bottom