Recent content by mapundaee

  1. M

    JamiiForums Katiba Mpya: Kakobe aungana na Wapinzani Jangwani

    Naomba mnikumbushe; Rais asiposaini mswada wa sheria iliyopitishwa na Bunge ni nini kinafuata? Miaka ya nyuma ilikuwa mswada huo hurudishwa tena Bungeni na kujadiliwa upya, je bado sheria zetu zinasema hivyo?
  2. M

    JamiiForums Slaa na maamuzi ya ubabe Kyela, akipewa nchi atafukuza wangapi?

    Hii ndiyo chadema. Kama hawa walikuwa mamluki kweli sawa kuwatimua lakini unatakiwa uangalifu wasije wakachaguliwa mamluki tena. Hofu yangu ikulu 2015 sijuiiiiiiiiii!!!!!!!!!
  3. M

    JamiiForums Agizo la pinda kuhusu mashangingi lilipuuzwa au??

    Wako wanaosema kuwa nchi hii inahitaji mabadiliko, sina uhakika kama wana maanisha CCM iondolewe madarakani na chama kingine kichukue utawala wa nchi hii. Vile vile sina uhakika kama chama wanachokitaka ni CHADEMA au chama kipi. Huko kwenye vyama kote kumejaa watu wenye uchu wa madaraka na...
  4. M

    JamiiForums Kufunga mtungi wa gesi ORYX

    Watanzania tunatakiwa kujifunza, hivi vitu rahisi mara nyingi huwa vinatugharimu uhai wetu. Nunua regulator original siyo hiyo ya kuchonga kienyeji, itakuletea matatizo tu.
  5. M

    JamiiForums Nachukia kusalimiwa kwa kushikwa mikono!!!shaking hands

    Kupeana mikono siyo lazima ni hiari ya mtu
  6. M

    JamiiForums M23 waangamizwa na majeshi ya umoja wa mataifa huko drc

    Kwani wapiganaji wote wa M23 walikuwa mahali pamoja mpaka wauwawe wote? Kama ni kweli tusubiri watazuka wengine na kujiunga na M23 kwani walikotokea hao waliokufa bado kuna binadamu wengine ambao wanaweza kushawishika na kujiunga na M23
  7. M

    JamiiForums Daraja la Kigamboni lilipofikia katika Ujenzi - Sasa inawezekana kutembea kwa miguu

    Mama ntilie lazima, bila mama ntilie watz wanaofanya vibarua hapo watakufa njaa na kazi haitakwenda vizuri
Back
Top Bottom