Si swala la wanasiasa kujitafutia fursa, ni swala kutaka kuiangusha serikali kwa maslahi binafsi. Naunga mkono kurudisha pesa na mali za umma lakini sikubaliani na kupanga mkakati wa kumhusisha waziri mkuu ili aonekane anahusika na walazimishe ajiuzuru ili membe atimize lengo lake
Huu Urais ck hiz watu wanaona imekuwa ni sehemu ya kifahari mno, sasa joka la mdimu Membe anadhani nani atampitisha ndani ya chama kwa hujuma za kipuuzi kama hizi. Nashauri viongozi wa CCM walitafakari jambo hili na kama ikithibitika hatua kali dhidi yake zifanyike na hasa kukatisha ndoto yake...
Aliyekuwa mwanasheria mkuu wa serikali Andrew Chenge alipewa dola milioni 1 za ESCROW sawa na bilioni 2 kasoro za kitanzania imefahamika.-
Chenge ambae alikua mwanasheria mkuu wa serikali wakati mkataba wa IPTL unasainiwa miaka ya 1990 amekiri kupokea kiasi hicho cha pesa kutoka kwa mwanahisa...
Endeleeni kujidanganya na mawazo yenu ya usaka tonge, huoni aibu mtu amejipanga kuwa Rais tangu mwaka 2015 hadi sasa halafu anaongoza kukubalika kwa 17% akifuatiwa na mtu ambaye ameanza harakati za kuutaka Urais chini ya Miezi 3 iliyopita kwa kupata 14%. na bado amewaacha mbali wagombea wengine...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.