Ushauri tu! CCM waache vita na Lowassa, namuona ni mtu pekee anakubalika na idadi kubwa ya Watanzania, amefanikiwa kujiweka vzr kitaifa na hata kama anavijana anawalipa acha wamsaidie kazi maana Nchi hapo ndipo ilipofika hakuna njia nyingne....sasa afanye nn kama anazo pesa na anahtaji...
Baada ya Mh. Samwel Sitta kujipotezea umaarufu wake na heshima kubwa wakati wa uongozi wake katika Bunge la katiba kwa kusimamia upitishwaji wa katiba uliokosa umoja wa kitaifa jambo ambalo lilimpoteza kabisa kukubalika kwa jamii.
Sasa amepata kibarua kipya cha kusimamia yale yaliyokuwa...
Ndio mana tumesema orodha yao ni ndefu sana....ila tunashukuru kwa ufuatiliaji wako mdau....Hawa ghasia yumo kwny orodha yetu! pia atajificha na ameanza kuficha sura yake kule kwa akina Chamaki nchanga....yan huyo ndio bomu kabsa hawezi hata kujieleza kwny mambo clitical....angalia...
Kwa mujibu wa takwimu na historia za wabunge mbali mbali katika Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania....imethibitika kwamba. List ifuatayo ya wabunge kwa hansard na records mbalmbal za vyombo vinavyohifadhi michango yao kwa mambo ya kitaifa hawana muda mrefu maisha yao ktk jamii yatakua...
Issue ni uzalendo tu nakujitambua sio kuhtaji uwaziri...sasa lini Kangi lugola alitaka uwazir...anajitambua...wanafiki na wasiojtambua na wasiojua Dunia imefika kwny kiwango gani kama akina 'Asumter' ndio waliokua wanajipendekeza kumbe wanajharibia kwa jamii...sasa mambo yko kama hvo sjui...
Tumpe nafas afanye mm sioni kama inahtaji sana weredi mkubwa kuendesha wizara....wapo watendaji wengne atasaidiana nao na mambo yataenda tu wakuu....ukwel uko wazi mfumo uliopo ni ngumu kufanya vzr kwny wizara yyte ile hata angepewa mtakatifu na mweredi wa kiwango gani....Tumuombee amalize salama.
Ujamaa usiokua na maana kazini huuuu....sasa Nchimbi tena?....haya sasa Mwakyembe anaenda kuanza upya kazi.....kwel hakuna committiment za kiutendaj kabsa.....kama ni mm bora nisiwe wazir tena..sasa mipabgo yake yote na vita zake za kupiga watu chini zinaishia hiv hiv? hapana aisee
Haijalishi amefanya nn kwny wizara yake ili kwa scandal iliyokua inaigusa wizara yake moja kwa moja hakukua na haja kukaa na kibuli cha kung'ang'ania ofisi mpaka leo.....hii ndio shida ya wasomi wa nchi hii....mbaya zaid wamekua wanatumia elimu yao kupotosha mambo ya kwel kabsa kwa...
Haijalishi amefanya nn kwny wizara yake ili kwa scandal iliyokua inaigusa wizara yake moja kwa moja hakukua na haja kukaa na kibuli cha kung'ang'ania ofisi mpaka leo.....hii ndio shida ya wasomi wa nchi hii....mbaya zaid wamekua wanatumia elimu yao kupotosha mambo ya kwel kabsa kwa...
Nchi hii ina watu na wasomi kabsa waliojaa ubinafsi..ww ukiajiliwa bas au ww ukipata unachohtaji huoni tena wengne wanapta kwny hali ya namna gani...kwa taarifa zilizopo na utafit uliofanyika ni wakutosha..habar ya UDOM inafahamika vzr na watu washalifanyia kazi vya kutosha na majibu yapo...
Aite asiite ila wenye kuona mbali wanaelewa nn kinaendelea....tena mm sina haja hata kusikia lolote linalohusu escrow...nilskitika siku ya kwanza tu mkuu alipotua aliulizwa akasema bado hana jb la mambo yaliyokua yakiendelea Dodoma.....siku ile tu nilkua nimemuelewa Dr..sjui Prof..I am not sure!
Mama Tibaijuka kuongea na media ilikua ni tacnique tu...za janja toto lkn mwny akili unaelewa tu ilkua ni mpango tu wakuvuta jamii kuskia kauli ya mkuu yake....Muhongo pia kukaa muda wote huu pia ni sehem ya ujanja huo huo wa kuvuta watu kukaa na kusikiliza matamko..Issue iko wazi tu kuna...
sioni tabu ya Clouds kupiga ule wimbo wa Komba....mm tabu ninayoipata ni ujumbe uliopo kwny ule wimbo! Chama kipo kwny hali mbaya sana makada hawana uwezo wa kuona mbali....nakuhakikishia wimbo ule hautatumika kwny hizo kampeni sababu ya maudhui yaliyomo mle...eti KOMBA na timu yake wamekaa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.