Ndugu yang usiambiwe fatilia kwa uhalisia amin nakwambia soko la mahindi limeanguka kwa kiasi kikubwa na kilimo chote tu kwa ujumla. Ukija upande wa biashara ndo usiseme wakisema wakopeshwe tena hao vijana kwa hali hii na sera hizi za uchumi itakuwa ni deni juu ya deni
We jamaa umeongea kitu cha msingi sana inshu tu ni serikali kuweka mazngira mazuri kwa wakulima ili vijana wajikite huko hisusan mazao ya biashara na chakula yanayo anguka kwa bei na mengine kukosa wanunuz mathalani mahindi, tumbaku, mbaazi na korosho
Hebu kaeni kushoto watu mmekopeshwa pesa ya kusoma na mtaji mtaka mkopeshwe tena wakati wenzenu tunalilia tukopeshwe hta pesa ya kujikimu (boom) na tunaikosa
Hilo pendekezo la tatu ni la muhimu sana coz wakulima tunalia mazao tunayo lkn hakuna wateja mfano ss wakulima wa tumbaku mkoani tbr wilaya ya kaliua tuna tumbaku zetu godown hafu wanunuz hawapo kisa serikali kuongeza kodi kwa wanunuz na hvyo wanunuz kukimbia watu tunaiomba tu serikali tuuze hta...
Asisahau mkoa wa tabora pia coz kahudumu huko miaka nenda rudi kama mkuu wa wilaya leo hii zao la tumbaku linaangukia mikononi mwake. Kwa sababu mpaka xx tumbaki haijauzwa ajl za ya makodi yaliyoongezwa na Serikali kwa wanunuz kushndwa kumudu na asilimia kubwa ya tumbaku kushndwa kununuliwa
Bora yenu huko singida huku kwetu kasulu kigoma tunakakazwa kulima eti ni sehemu ya hifadhi wkt tulishaandaa mashamba afu eti hii ni serikali ya hapa kaz tu yaan hadi nachokwa
Aisey nikionaga habr hz moyo wangu unazizima. Mungu tusaidie hta nasisi tuliokosa mwaka jana mwaka huu tupate coz bila safar ytu ya elimu itaishia njian
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.