Recent content by Mapirobe

  1. Mapirobe

    JamiiForums Tanzania Tanzania inawahitaji watu aina ya Mch. Gwajima walau kumi hivi

    Ungetuambia kwanza kipndi kile cha uchaguzi ulipotelea wapi,-alaf ndo ukaeleza hayo masipini yako,kama ulikuwa kwa gwajima au?
  2. Mapirobe

    JamiiForums Tanzania Msaada: Kupotelewa na vyeti

    Vyeti vilipotea ktk daladala ya Kutoka Igoma kwenda Buhongwa May 17, 2016.
  3. Mapirobe

    JamiiForums Tanzania Msaada: Kupotelewa na vyeti

    *TANGAZO* *LA* *KUPOTELEWA* *NA* *VYETI* Naitwa *WILBERT* *SYLVESTER* natangaza kupotelewa na vyeti vifuatavo: *CS No. 358580* *CSEE* *1997* *Pamba* *Secondary* *Index no S0546/0115*. Cheti cha pili kilichopotea ni *ACS No 103730* cha *ACSEE May 2000* chenye *index no S0350/0645* *Shinyanga...
  4. Mapirobe

    JamiiForums Tanzania Hatimaye CHADEMA watambua rasmi ushindi wa Magufuli

    Duu watapata wakati mgumu sana, wakibakia kusikika kwenye magazeti
  5. Mapirobe

    JamiiForums Tanzania Hatimaye CHADEMA watambua rasmi ushindi wa Magufuli

    Unasikia hadi mzee wao aliyegombea nae anatafuta mwaliko wa kwenda Ikulu.
  6. Mapirobe

    JamiiForums Tanzania Hatimaye CHADEMA watambua rasmi ushindi wa Magufuli

    Juice ya Ikulu sio mchezo
  7. Mapirobe

    JamiiForums Tanzania Yaliyojiri Uchaguzi wa Ubunge Jimbo la Arusha mjini, Lema atangazwa mshindi

    Hatimaye zoezi la kuhesabu kura linaendelea katika jimbo la Arusha Mjini japo mgombea kupitia CCM anachuana vikali na mgombea wa Chadema. Dalili za awali zinaonyesha CCM wanaweza pata ushindi mwembamba ukilinganisha na ushindi waliopata huko Handeni.
  8. Mapirobe

    JamiiForums Tanzania Siku ya UHURU wa Tanzania bara (9/12): Yaliyojiri maeneo mbalimbali kuhusu kufanya usafi

    Ukawa wenzie wanamtambua iweje yeye mtu mdogo, mzee mzima anamtambua
  9. Mapirobe

    JamiiForums Tanzania CUF wakanusha taarifa za kifo cha Maalim Seif

    Kwa hiyo CUF inatambua ushindi wa Magufuli?
  10. Mapirobe

    JamiiForums Tanzania Siku ya UHURU wa Tanzania bara (9/12): Yaliyojiri maeneo mbalimbali kuhusu kufanya usafi

    Bongo hamna siasa ni majungu tu, alichokuwa akihitaji kapata, hawezi fanya usafi huyo
  11. Mapirobe

    JamiiForums Tanzania Hongera Kamanda Mbowe, UKAWA/CHADEMA itang'ara hakuna wa kuizuia

    kama lowasa angeweza endesha baisikeli kama hivi,ningempa kura yangu
  12. Mapirobe

    JamiiForums Tanzania Magufuli hakunaga, aokoa trilioni 1 kwa siku 30!

Back
Top Bottom