Jamaa kaguswa ndiyo maana anapiga kelele kama kakalia msumari...awe mpole tu dozi imwingie vizuri na wenzake maana ada zao ni za juu na zilikuwa haziendani na kiwango cha elimu waitoayo!!😀😀😀😀
Tatizo hawa jamaa wa TBC wanasahau kuwa posho na mishahara yao inatokana na kodi za watanzania wote ambao wengine si hata wanachama wa upinzani wala ccm....cha msingi wawe fair na si kuwa upande mmoja..wana nidhamu ya uoga ndo maana wanakuwa biased...uoga si maadili ni upumbavu wa hali ya...
Tuache majungu yakipumbavu...huyo dogo anaesema lowasa fisadi anafuata mkumbo........hajielewi.....
- Je, wakati fedha za Mkonge kupitia mfanyabiashara aitwaye CHAVDA zinaibiwa Lowassa alikuwa waziri mkuu? Alikuwa malecela!.
- Madini ya dhahabu yaliyokamatwa uwanja wa ndege wakati wa Rais...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.