Recent content by Mapara

  1. M

    Wizara ya Fedha, si apewe Chenge tu

    Apewe mkapa!!
  2. M

    Updates: Kutoka Jangwani Leo tarehe 24.10.2015

    Kama uko kwa ccm basi ww umekwisha!!
  3. M

    Ziara ya Mgombea Urais wa CHADEMA, Edward Lowassa mkoa wa Mara (Serengeti,Tarime)

    Ndo maana huko maendeleo bado saaaana!! Maana ccm nikama iliwasomesha hivi!!!!!
  4. M

    Lowassa kusimamisha Jiji kwenye uwanja wa Taifa tarehe 8 Agosti, 2015

    Lazma nitinge jembe hilo syo lakukosa Lowasaaaa oyeeeeee!
  5. M

    Lowassa ana bahati sana, sababu Magufuli hafai

    Lowasa tegemeo la watanzania tuna mkubali na ataidevelop Tanzania faster! Jamani tuamke tuachane na mambo ya kale ya S.L.P!
  6. M

    Mishahara mipya ya walimu 2015/2016

    Tunge pata namba ya hazina tungeuliza kama mishahara ilishaingizwa harafu tulundikana kwa hawa wakurugenzi!
  7. M

    Mishahara mipya ya walimu 2015/2016

    Mkurugezi wa wilaya hii anasema hana uwezo wa kutusaidia ss sijui twende kwa afisa elimu mkoa maana maisha yamezidi kuwa magumu!
  8. M

    Mishahara mipya ya walimu 2015/2016

    Jamani mtusaidie namba zozote zinazo husika na hazina wizara ya fedha tuweze kuliza mishara mbona ss huku Buhigwe Kigoma hatujaingiziwa mishahara ajira mpya!
  9. M

    Msaada majina ya waliochaguliwa ualimu awamu ya pili 2015/2016

    Jamani kuna wilaya moja ya BUHIGWE mkoani KIGOMA walimu tumeajiliwa lakini hatujapata Mshahara toka tulipo ajiriwa! Naombeni msaada nifanyeje ili nipate Mshahara wangu au niaxhe kazi?
  10. M

    TAMISEMI kuachia mzigo usiku

    Ngoja tusubili!
  11. M

    Nachelewa kupata bao la pili

    Uwe unakunywa kwanza vidonge vya aina ya parasentamo kutuliza akil kwanza
  12. M

    Ajira mpya za walimu, pesa za kujikimu

    Tujuzane ajira lin ndo kwanza jujadili mambo ya mushahara
Back
Top Bottom