Wewe ni kiongoz gan wa chadema umemsikia wanataka kumpeleka ulaya,India au Marekani? Zaid ya maneno ya Ndugai jana aliesema kuwa kama wanataka kumpeleka India wafuate taratibu bunge litalipa gharama? Acha story za kuokoteza mkuu
Ruttashobolwa nadhan,unafaham maana ya mgonjwa kuwa ICU,anaweza pata nafuu sahz na baada ya dk 5 hali ikabadilika,hvyo usione ajabu ikatoka taarfa kuwa alipata nafuu alaf hali imekua mbaya,Ndugai kasema bunge haliwez kumtibu kwa sababu taratibu zlikiukwa (serikali utaratibu ake kibali cha...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.